Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Ninapoandika bandiko hili polisibwamezunguka chadema makao makuu wakiwa na silaha za kivita..nitawajuza kitakachoendelea.

.
Waache wazunguke tu wakichoka wataondoka. makamanda endeleeni na shughuli za kiofisi bila kujali hilo genge la rushwa linalojiita polisi.
kuna msemo usemao "farasi aliyekaribia kukata roho utupa mateke ya ghadhabu ya mwisho mwisho. farrasi anaekufa ni serikali ya sisiem.
.
 
Duh hii serikali ya CCM naona imeishiwa mbinu kabisa. CCM watambue kwamba uhalali wa kutawala hauji kwa kuminya uhuru wa kuandamana.

Watazunguka majengo ya chama lakini hakika hawataweza kuzunguka ktk mioyo na akili za watanzania waliochoshwa na hila na uovu wa CCM.

CCM tumeshawakataa hakika
 
Hii serikali saa imebakia kuwa kichekesho. wakikaa makao makuu halafu maandamano yakianzia Ubungo na Temeke na Mbagala watafikaje huko kuwazuia?

Akili ya mbayuwayu hii.
:llama:
 
Kura za email na fax kwa jambo muhimu kama Katiba........BullShi.t.

Pumbafu kabisa.
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu haramu ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

Mkuu uzuri ujumbe umefika.

Maandamano ni kupeleka ujumbe kwa jamii so CHADEMA tumefanikiwa sana.

Nipo tGO tumetumiwa email juu ya hayo maandamano na kuambiwa chadema wanandamana kupinga bunge la katiba na ufisafi wake.
 
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.

Hata tembo, Rhino na wanyama wengine angalau wangepewa ulinzi kama huu robo tu wasingeteketea...
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu haramu ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

hivi ulinzi wa namna hi si garama kubwa kwa Taifa wakati dawa walim kulipwa maji safi nishida?
 
Kura za email na fax kwa jambo muhimu kama Katiba........BullShi.t.

Pumbafu kabisa.
Mkuu hapo wanajitekenya wenyewe,

Wanafurahi wanafurahisha ni katiba kama ya 1977 ambayo ilikuwa si ya wana wa nchi.
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM
Weka picha kamanda.
 
Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.
 
wangekuwa wanapiga doria namna iyo tusingesikia matukio ya kihalifu
 
Back
Top Bottom