Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Tupia picha tafadhali mkuu, natamani na vyama vingine vingetangaza pia maandamano.
 
nina mashaka na hawa polisi wetu, walisomea kulinda haki au kuhakikisha haki haipatikani, kuna haja ya kupitia vyeti mmoja baada ya mwingine.. huu uozo haukubaliki hata kidogo

Hata ------- huwa wanadai haki za ku......rwa. Sasa nyie mnadai haki gani isiyokuwa na mipaka!? Hamjepewa kibali mnadai haki! Watu wa ajabu sana nyinyi ndio mnalipwa kushawishi waandamanaji wakiumia hamuendi kupeleka hela za tiba wala nini.
 
Kwa kuwa mmekosa mvuto na ushawishi kwenye public muendelee hivyohivyo kuwatumia Polisi maana Polisi hao hao hawana watoto wala ndugu watakao faidika na katiba bora tunayoipigania dhidi ya hujma zenu. Na polisi hao hao mtakuja kuwatumia kuomba kura.

Hivi ni lini mtaacha kupotosha?
Tangu lini CHADEMA kikawa na mvuto?
Hivi hujawahi kujiuliza kwanini watanzania hawataki kukipa chama chenu dhamana ya kuwaongoza?
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

wanazidi kuwapa ujiko hata mtoto mdogo sasa anaijua chadema.
 
Wafanya vurugu kwenye maandamano ya cdm ni polis. Na hilo wanalifanya kwa maelekezo ya ccm!
 
Mipango ya kiwenda wazimu kabisa. Kweli CDM inawatoa pupu. Mngekuwa mnajiimarisha hivi kulinda raia na mali zao basi mngepewa medani.
 
Hivi ni lini mtaacha kupotosha?
Tangu lini CHADEMA kikawa na mvuto?
Hivi hujawahi kujiuliza kwanini watanzania hawataki kukipa chama chenu dhamana ya kuwaongoza?
tume ya uchaguzi hushinda kuliko vyama vyote vya siasa!
 
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.

Makene,
Nilidhani sasa hapa ndipo viongozi wetu makao makuu mngelituonyesha kwa vitendo kuwa dhambi kubwa kuliko zote duniani ni uoga. yaani pamoja na ulinzi na kuzingirwa huko na polisi mngetoka mkaanza kuandamana.
Lakini mimi najua hilo hamuwezi kufanya maana hapakuwa na vijana wakutanguliza kama chambo. asanteni, kumbe na nyie wenyewe hapo makao makuu huwa mnaogopa? sasa mbona huwa mnatudanganya sisi kuwa tusiogope? yaani kama mngehutubia umati wa vijana hapo mngesema vijana msiogope, pambaneni na hayo mapoliccm!
 
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

Kama hawa jamaa wakiamua inavyobainishwa hapa, waangalie na familia zao huko wamezingirwa na nani

Jeshi la polisi limeasi kwa kutumwa kuasi na Chama Cha Mapinduzi na serikali yake ili litumike kuwakandamiza wananchi wadai haki. Wabunge wa tiketi ya CCM wameasishwa na chama chao ili kuwafanya wananchi kuwa watumwa wao badala ya kuwa waajiri wa serikali.

Chama cha CCM na serikali yake vimefanya haki kuwa anasa kwa muda mrefu na kuzuia uwezekano wa kudaiwa haki hizo na kuingiza kwenye vichwa vya watanzania kuwa MAANDAMANO NI HATARI SANA, wakati sivyo ili wawanyang'anye kila haki yao.

Mtu asiyeruhusiwa kuandamana na kugoma kudai haki hiyo siyo mtu huru. Kwahiyo, Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunatoa RAI kwa polisi wakome mara moja kuzuia maandamano yanayoitishwa, kwa sababu wakiandamana wananchi nasi tunapata haki zetu kwani kisheria hatuandamani na kugoma.

Fahamuni ya kuwa Waandamanaji ni watoto wetu, Wazazi wetu, Wake zetu, Ndugu zetu, Jamaa zetu na Wananchi wenzetu kwa ujumla. Hawa ndiyo mnaowapiga mchana kweupe huku mkizungumza wazi wazi kama wanaCCM kwa sababu mmeruhusiwa kuchukua rushwa mchana kweupe na kuweza kumiliki mali nyingi kila mmoja kwa urefu wa kamba yake. Mmejenga majumba ya kifahari na kununua magari ya kisasa kwa ajili yenu na wazazi wenu, wakati sisi wanajeshi ambao tuna jukumu la kulinda nchi wazazi wetu wakiendelea kuteseka na maisha ya shida na taabu pamoja nasi wenyewe.

Mkistaafu hamuendi kufanya ukorokoroni kama sisi, maana mnapokea kodi za nyumba zenu na magari yenu mliyopata kwa RUSHWA mlizoruhusiwa kuchukua mchana kweupe, tuna uchungu sana tunapoona wananchi wanaodai haki zao kwa maandamano mkiwatesa.

Tunaudhika sana mnapokurupuka kuzuia maandamano kwa kusingizia taarifa za kiintelijensia ambazo hamzitumii kwa uhalifu mwingine, ambapo tumegundua uharibifu mkubwa unaotokana na matumizi makubwa ya nguvu kuzuia maandamano kuliko ambavyo mngewaacha wananchi wakaandamana kwa amani.

Mmeua watu kwa risasi, mmeua watu kwa mabomu, HATUTAKI TENA kuona mkizuia maandamano ya wananchi kijinga kijinga hivi. Sisi Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi tunaamini kuwa wananchi wakidai haki hata sisi tutapata, mkiwazuia nasi tunakosa haki hizo pamoja na familia zetu.

Kwahiyo, tunawataka polisi kuacha kuwaasi wananchi. Wananchi endeleeni na maandamano na migomo, Polisi watakaopambana nanyi watavuna kupoteza wazazi wao, wake zao, watoto wao popote nchini wakati wa maandamano ama baada ya maandamano mpaka watakapoacha kuzuia maandamano kwa kutumiwa na wanasiasa wa CCM, Wananchi nanyi waangamizeni polisi na watu wao popote waishipo kwani siyo walinzi wa wananchi tena.

Wananchi kumbuka nchi zote zilizosonga mbele duniani kote ni kwa sababu ya migomo na maandamano ya wananchi, nchi yetu inadumaa kwa sababu ya wananchi kuzuiliwa kuandamana na kugoma. Serikali ya CCM imewafanya wananchi mazezeta.

Bunge la Katiba limekataa tukiona kwa macho yetu kuwa UWAZI, UWAJIBIKAJI na UADILIFU eti zisiingizwe kwenye katiba mpya kwa madai kwamba hizo ni TABIA ZA MTU BINAFSI, hawa ndiyo polisi wanazuia wananchi wasiandamane kuwapinga, eti wapo kihalali. Kihalali kutenda uhalifu kwa kukataa maoni ya wananchi!

Hizi siyo siasa msitufanyie ujinga, vinginevyo mnatulazimisha tuasi... Tumechoka sasa tunasema IMETOSHA!

Wenu,

Haki
Msemaji
 
Hivi ni lini mtaacha kupotosha?
Tangu lini CHADEMA kikawa na mvuto?
Hivi hujawahi kujiuliza kwanini watanzania hawataki kukipa chama chenu dhamana ya kuwaongoza?

Uliona wapi chadema kinabeba watu kwenye malori wapi uliona ubwabwa wa maharagwe unapikwa ndio katibu mkuu wenu asikilizwe
 
Makene,
Nilidhani sasa hapa ndipo viongozi wetu makao makuu mngelituonyesha kwa vitendo kuwa dhambi kubwa kuliko zote duniani ni uoga. yaani pamoja na ulinzi na kuzingirwa huko na polisi mngetoka mkaanza kuandamana.
Lakini mimi najua hilo hamuwezi kufanya maana hapakuwa na vijana wakutanguliza kama chambo. asanteni, kumbe na nyie wenyewe hapo makao makuu huwa mnaogopa? sasa mbona huwa mnatudanganya sisi kuwa tusiogope? yaani kama mngehutubia umati wa vijana hapo mngesema vijana msiogope, pambaneni na hayo mapoliccm!
mnyofoa jicho la Kibanda na wewe unaviongozi ha ha eti nilitekwa kumbe damu ya wenyewe unakunukia rafikkkkkkkkkkkkkkkkkkkk ko mjengwa hamjarudiana
 
Wakimaliza hapo sasa watumie hivyo hivyo na silaha hizo za kila aina wakati wa kupiga kura ili theluthi mbili ipatikane
 
Back
Top Bottom