Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.
wajinga kama waanguka vifafa?
Kamanda kuomba picha imekuwa ugomvi.
Ulinzi huo wangepewa tembo wasingeteketea
Kamanda kuomba picha imekuwa ugomvi.
Nawasiwasi Ujapitia jando wewe
Wazalendo tuendelee kusikiliza/kutazama bunge maalum, suala la ku-deal na wavunjifu wa amani tumuachie MANGU.