Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM
 
Wakikaa kaa mitaani namna hiyo uhalifu utapungua kiasi
 
HAWA askari ipo siku watajutia hichi wanacho tufanyia sisi tunaodai haki yetu kwa wakati huu
 
Hatuwezi kuwaweka watu kizuizini ili tupitishe ule ubatiri.
 
Nachukua boda boda nakuja hasa hivi, hapo kinondoni ufipa
 
Back
Top Bottom