Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Katika sakata hili aliyedhulumiwa ni nani?

Huoni kama CHADEMA wanafanya vibaya kuwahimiza wananchi wafanye fujo?

kumbe wana uwezo wa kuhimiza wananchi? si mlisema chadema imekufa baada ya msaliti zito kutimuliwa?
 
Katika sakata hili aliyedhulumiwa ni nani?

Huoni kama CHADEMA wanafanya vibaya kuwahimiza wananchi wafanye fujo?
We pimbi wa fikra kama kuandamana ni fujo nani aliwalazimisha kuweka kipengere ktk katiba kinachoruhusu kuandamana wakati kipindi hicho cha 1977 mlikuwa peke yenu?.Au umesahau maana siku hizi hamkawii kujitetea eti UKAWA ndio waliwalazimisha baada ya kwenda kwa rais!
 
Mjinga rudi shule acha kupakatwa kama bwabwa lugha hujui akili huna kutumwa tu kama maiti

You can legitimately blame your parents for not to sent you to school.As much as your problems are your own
 
We pimbi wa fikra kama kuandamana ni fujo nani aliwalazimisha kuweka kipengere ktk katiba kinachoruhusu kuandamana wakati kipindi hicho cha 1977 mlikuwa peke yenu?.Au umesahau maana siku hizi hamkawii kujitetea eti ukawa ndio wakewalazimisha baada ya kwenda kwa rais!

Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.
 
Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.

Hivi uko Arusha?????? Shame on you. Hasara
 
Unafahamu maana ya MAANDAMANO ya AMANI? toka lini CHADEMA wakaweza kufanya maandamano ya Amani?

Tulioko huku Arusha tunajua Maandamano ya CHADEMA yakoje.

Upo Arusha ya Lumumba?

Arusha hakuna mtu mbulura ka wewe.

Huijui Arusha unaijuia Arusha ya JF
 
Wangekuwa wanalinda hivi mpaka mitaani hakika tungelala milango wazi,ila chagonjwa na lile domo lake ipo siku atakula chapati bila kukunja,hapana kucheza na nguvu ya umma!!
 
Mimi polisi wakiwapiga watu wanaonikejeli mimi pindi ninapopigwa na hao hao polisi mimi nashangilia tuu.

The best enemy of my hater is in action now.

Normally chicken comes home to roots.

Teh teh teh.
 
You can legitimately blame your parents for not to sent you to school.As much as your problems are your own
mjinga wewe rudi shule kama baba yako alikuwa rofa kukupeleka shule za kayamba nani maimuna shauri yako hujui lugha ya malikia wewe duh aibu huna
 
Mjinga rudi shule acha kupakatwa kama bwabwa lugha hujui akili huna kutumwa tu kama maiti

Wewe kweli kilaza unasumbuliwa na lack of general knowledge.Unashindwa kusoma hata sentence moja ya english.Bwabwa kama wewe huna elimu utafanya nini tz au uolewe
 
tabata hasa segerea, polis ndio wanao fanya maandamano.
 
nina mashaka na hawa polisi wetu, walisomea kulinda haki au kuhakikisha haki haipatikani, kuna haja ya kupitia vyeti mmoja baada ya mwingine.. huu uozo haukubaliki hata kidogo
 
by big_in;
Wewe kweli kilaza unasumbulina lack of general knowledge.Unashindwa kusoma hata sentence moja ya english.Bwabwa kama wewe huna elimu utafanya nini tz au uolewe

wewe big_in ndio kilaza mkubwa, hapo kwenye red unamaanisha nn wewe mbulula wa kanga moko!
 
Last edited by a moderator:
Mimi polisi wakiwapiga watu wanaonikejeli mimi pindi ninapopigwa na hao hao polisi mimi nashangilia tuu.

The best enemy of my hater is in action now.

Normally chicken comes home to roots.

Teh teh teh.
Ipo siku itakulazimu uyameze maneno yako ,kwani hutakuwa na pakukimbilia.
 
Katika sakata hili aliyedhulumiwa ni nani?

Huoni kama CHADEMA wanafanya vibaya kuwahimiza wananchi wafanye fujo?

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI na MAJUKWAANI - JK NYERERE , TENA KWA JAMBO KAMA HILI LA UCHAKACHUZI WA MAONI YA WANANCHI HILI LAZIMA LIFANYIKE .
 
Dola yeyote duniani inapokaribia kuanguka hutumia kila aina ya silaha kulinda maslahi yake ikiwa ni pamoja na kuua wanaharakati, kupisha katiba na sheria gandamizi kama tunavyoona leo.

Tuwe wavumilivu kwani anguko kuu linakuja.

that's very true indeed...
 
mjinga wewe rudi shule kama baba yako alikuwa rofa kukupeleka shule za kayamba nani maimuna shauri yako hujui lugha ya malikia wewe duh aibu huna

Never argue with an idiot (a.k.a. difficult people).You will drag me down to your level
 
Back
Top Bottom