mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
CHADEMA tumebanwa aisee hakuna hata nafasi ya kuhema
Mjinga rudi shule acha kupakatwa kama bwabwa lugha hujui akili huna kutumwa tu kama maitiMake matters worse, even if you tell the complete truth you will lying without any evidence to prove that accusation and they could not challenge
Wale watuhumiwa wakubwa waliotajwa kwenye list of shame, ambao mkubwa wa polisi nchini aliwahi kusema wakishughulikiwa nchi itayumba, Waziri Mkuu akawagwaya, Rais akavunja katiba ya nchi kwa kusamehe wezi ambao hawajafika mahakamani, mlituma magari mangapi vile kwenda kuwakamata?
Kwa maana hiyo unafurahia shekhe kuwekewa jiti siyo eh!?Jiandaeni kwenda kufanyiwa kitu mbaya mahabusu,mahojiano ya polisi siku hizi lazima ukalie kitu fulani wakati wa kutoa maelezo.
Hakuna Kisingizio chochote mnachoweza kukitoa kuhusiana na hizi fujo zenu wapenda Amani tukawaelewa!
kamavibarala wa wazungu, mbona mnawapa madini bure?Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.
CHADEMA tumebanwa aisee hakuna hata nafasi ya kuhema
Polisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!
Mkuu ujumbe umefika sawia kabisa.Inshalah,
ujumbe wetu hakika umefika.
Hakuna Kisingizio chochote mnachoweza kukitoa kuhusiana na hizi fujo zenu wapenda Amani tukawaelewa!
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , lakini waliokubali kazi hiyo watambue kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo DHULUMA ILIWAHI KUISHINDA HAKI .Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.
Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.
Haijulikani lengo na sababu nini.
Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM
Swadakta.Udhalimu haujawahi kudumu milele!
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , lakini waliokubali kazi hiyo watambue kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo DHULUMA ILIWAHI KUISHINDA HAKI .
Unajidhihirisha upeo wako ulivyo