Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.

Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.

Haijulikani lengo na sababu nini.

Ikumbukwe leo Rasimu 'haramu' ya Katiba ya CCM inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM

You need evidence to prove your bullshit
 
Polisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!
Mhuni nchi hii ni MMoja naye ni Mwenyekiti wa CCM ambaye anazurura zurura tu anaturudisha nchi yetu kwenye vimbwanga vya makaburu , si wamesema Chadema kimekufa sasa inakuwaje wanazunguka ofisi zao wanalengo la kuchoma ofisi ili wasingizie wananchi wenye hasira polisi wa nchi wenye utahira ,
 
Polisi Mtieni nguvuni Mzee Slaa, Kigaila na John Mrema hawa ni wachochezi sana!
 
Ninapoandika bandiko hili polisibwamezunguka chadema makao makuu wakiwa na silaha za kivita..nitawajuza kitakachoendelea.

Tupe tupe kaka.kila jambo lina mwanzo na mwisho sielewi ccm mna maana gani?mlipaswa kuyalinda maandamano na sio ofisi
 
Inaonekana ni mpango maalum wa jeshi la polisi kuhusu udhibiti wa maandamano. Nipo hapa segerea kwa bibi naona wamejazana wakiwa katika doria na magari mawili na vifaa vya kutosha. Naona wengine wamevaa kiraia wakiwa na radio call zao karibu na kona ya kwa bibi.
Inavyoonesha wameamua kudhibiti ofisi zote za Chadema. Ingekuwa siku zote hivi nchi ingekuwa salama sana.

Hapa Mbeya viwaja vya shule ya Msingi Ruandanzovwe (Viwanja vya Dr. Slaa). Polisi wanavilinda wakiwa zana nzito za kivita, wakiwa wamepaki karndiga na Landcruser za polisi katikati ya uwanja.
 
Tuliwaambia mlimchezea sana mwema huyu mnyaturu atawatoa mavi
Mnyaturu mwana wa mtengeneza vyungu hana akili kikinukishwa hapa yeye na mzururaji mwenziewe Kikwete the Hague hii ndio evidence anayotoa kwamba hakuna utawala wa sharia pana wajinga watupu Polisi makao makuu, kama pendekezo la katiba ni halali kwa nini wanauoga na kutumia polisi huyo mnyaturu ni mjinga tu
 
Hapa Mbeya viwaja vya shule ya Msingi Ruandanzovwe (Viwanja vya Dr. Slaa). Polisi wanavilnda wakiwa zananzito za kivita, wakwa wapaki karndiga na Landcruser za polisi katikati ya uwanja.
ha ha ha harafu wanasema Chadema imekufa wako vitani nchi nzima vichekesho kweli
 
vikao vya ndani vya chadema kutoa maamuzi leo mchana kuhusiana na either kuendelea na maandamano au, kuacha maandamano na kuendelea na mipango ya uchaguzi wa serikali za mitaa , maamuzi ya kikao yatatoa ruhusa kwa viongozi kwenda mikoani kuhamasisha maandamano au kwenda mikoani kujipanga kwa chaguzi za serikali za mitaa, yote yanawezekana, ni jambo la kusubiri na kuona
 
Nasubiri kwa hamu siku Obama aamuru polisi wake wakazingire makao makuu ya Republicans kwa sababu wanamkosoa na kuipinga ile obamacae yake!

article-2267402-1720654F000005DC-840_634x416.jpg
 
Ninatamani nijiunge na jeshi la polisi niwaadabishe hawa wahuni,Dr Slaa ni wakupigwa kichwa cha pua tu.
 
Kwani pendekezo la katiba mfu ya CCM haisomwi msikilize Chenge anajichengua na ujinga wake

Make matters worse, even if you tell the complete truth you will lying without any evidence to prove that accusation and they could not challenge
 
Back
Top Bottom