Ulijuaje? ... Mbona hiyo ni siri ya mhusika na mwenzi wake?
kweli maana hawa ndiyo wanauwa albino ndiyo majambazi wanaovamia bank hawa ndiyo bunge la katiba EPA,escrow na majanga mengine ya nchi CHADEMA mwiba unatoka pale ulipoingiliaPolisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!
Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.
Mkuu ujumbe wa maandamano hufika pale walengwa wanapo- react, ukiona wamekaa kimya ujue ujumbe wako haujafika.Je ujumbe wetu unafika au haufiki??
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.
Mkuu ujumbe wa maandamano hufika pale walengwa wanapo- react, ukiona wamekaa kimya ujue ujumbe wako haujafika.
Tanzania sasa ni Soweto!
Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA yamezungukwa na polisi waliosheheni silaha.
Kuna takribani gari 8 kuzunguka njia zote za kuingilia Makao Makuu Kinondoni UFIPA.
Haijulikani lengo na sababu nini.
Ikumbukwe leo Rasimu ya Katiba inawasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba na ratiba ya maandamano ya CHADEMA leo ni mkoa wa DSM
Mhuni ni wewe au umesahau ya Kibanda na Lwakatare?ni virungu tuuuuu wahuni nyie
Polisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!
ni virungu tuuuuu wahuni nyie
'Ulinzi' wa namna hii ungekuwa unatolewa kwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi lingekuwa jambo la busara na hekima inayolinda uongozi na kuupatia uhalali wa kisiasa kuwepo madarakani.