Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

Napenda wangerushia hata mabomu sita ndani ya ofisi tuone hao mahaini wa CDM watakavyoka macho yakiwa yamevimba kama wala unga!
 
Endelea kutamani na sie tunakutamani sana tukushugulikie..

Jiandaeni kwenda kufanyiwa kitu mbaya mahabusu,mahojiano ya polisi siku hizi lazima ukalie kitu fulani wakati wa kutoa maelezo.
 
CDM HAINI!

Yaani mkilindwa shida! Msipolindwa tatizo hivi ninyi wanachadema mlizaliwa siku shetani akiadhimisha birthday yake?
 
Mbadala wa AMANI ni VITA. Polisi msikubali hao vibaraka wa wazungu wapoteze Amani yetu.

Unajua maana ya neno mbadala??
Unachanganya mbadala na kinyume....
Kinyume cha AMANI ni MACHAFUKO, GHASIA (viashiria vya kukosekana kwa amani ni pamoja na KELELE, NJAA, UMASKINI, KUWEKWA KIZUIZINI) -siyo lazima iwe vita! Vita uhusisha majeshi/vikundi vya uasi!
Mbadala wa AMANI ni HAKI.
 
Nilimsikia kamanda wa polisi mkoa wa Mara jana BBC na nilisikitika sana kusikia mtu mwenye dhamana kama ile akiwa na upeo ule.
Wenzetu Kenya polisi walikuwa na mawazo kama haya kwa kiasi fulani huku wakitumia kiasi kikubwa sana cha pesa kwa visingizio vya 'operations' mpaka wahuni wanne walipoisimamisha nchi kwa siku zaidi ya kumi pale Westgate ndio wananchi wakajua jeshi lao lilikuwa la aina gani.
Inasikitisha kusema kweli jinsi polisi wetu walivyo busy kukandamiza sheria ambazo wameapa kuzilinda.
 
Ninatamani nijiunge na jeshi la polisi niwaadabishe hawa wahuni,Dr Slaa ni wakupigwa kichwa cha pua tu.

Private person may arrest any person without warrant,for an indictable offense committed,or a breach huitaji kuwa polisi kumkamata Mbowe au Slaa
 
Napenda wangerushia hata mabomu sita ndani ya ofisi tuone hao mahaini wa CDM watakavyoka macho yakiwa yamevimba kama wala unga!
Kwani wakifa Kikwete na watoto wake watabaki milele huku duniani munatamba sasa hivi muko madarakani lakini madikteta wanajulikana walivyofanyiwa dunia hii wengine walichomekwa majiti sehemu za haja kubwa
 
Katiba inapatikana kwa mtutu wa bunduki, hakuna sehemu ya dissenting voices kuongea, majority dictatorship wanadhihirisha jinsi walivyotamalaki kuipata katiba hata ikibidi wenye maoni ya wachache kutupwa gerezani
 
Polisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!

Niliwahi kukuuliza msalani ni mahali pa kukojolea na wewe unakojolewa?? hukujibu ila nahisi ni ndio maana akili yako inafanana hvo
 
Nilimsikia kamanda wa polisi mkoa wa Mara jana BBC na nilisikitika sana kusikia mtu mwenye dhamana kama ile akiwa na upeo ule.
Wenzetu Kenya polisi walikuwa na mawazo kama haya kwa kiasi fulani huku wakitumia kiasi kikubwa sana cha pesa kwa visingizio vya 'operations' mpaka wahuni wanne walipoisimamisha nchi kwa siku zaidi ya kumi pale Westgate ndio wananchi wakajua jeshi lao lilikuwa la aina gani.
Inasikitisha kusema kweli jinsi polisi wetu walivyo busy kukandamiza sheria ambazo wameapa kuzilinda.

Polisi wamejizira
 
Mkuu OMUJUBI kitu ubunifu kimekuwa swali ambalo halina jibu hasa kwa sisi wabongo! Jawabu letu la ubunifu ni kuchukua short cut! Matakeo yake ndiyo hayo tunayo yaona yanatokea. Itachukua muda mwingi mpaka sisi wabongo kujielewa. Kwa mfano mtu kama MSALANI utaanzia wapi kumsaidia?
 
Jiandaeni kwenda kufanyiwa kitu mbaya mahabusu,mahojiano ya polisi siku hizi lazima ukalie kitu fulani wakati wa kutoa maelezo.

Inaonyesha walishakukalisha na ndo maana unajaribu kutupa ozoefu wako hapa JF.
 
Polisi washughulikieni hao wahuni ipasavyo. Amani ya nchi haiwezi kuvurugwa na wajinga wachache!

Wale watuhumiwa wakubwa waliotajwa kwenye list of shame, ambao mkubwa wa polisi nchini aliwahi kusema wakishughulikiwa nchi itayumba, Waziri Mkuu akawagwaya, Rais akavunja katiba ya nchi kwa kusamehe wezi ambao hawajafika mahakamani, mlituma magari mangapi vile kwenda kuwakamata?
 
Back
Top Bottom