Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 355
- Thread starter
- #21
Kwa wataalamu au viongozi waliobobea kwenye fani HR Management, Utawala au General Management gurus, wanasema Kiongozi yeyote aki-opt kumfukuza kazi mtumishi wa umma au kumhamishia kwenye taasisi nyingine kwa initiative za kiongozi husika kuliko ambatana na hila ndani yake basi hiyo inakuwa ni FAILURE kubwa sana kwa huyo kiongozi maana hatajua kuwa ajaye atakuwa na tabia na performance ya namna gani.KWANI ASKOFU PENGO NDIO NANI!!!!!!
KINACHOTAKIWA HAPO NI KIONGOZI MWENYE; TEAM WORK NA SIO KUWAGAWA WAFANYAKAZI, MWENYE HIGH LEVEL OF INTEGRITY, MWENYE VISION ILIYO CLEAR KUHUSU TAASISI HUSIKA NA SIO KUFANYA KAZI KWA KURUKIARUKIA TU VITU AMBAVYO CONTINUITY YAKE NI QUESTIONABLE.
Cha msingi kwa taasisi iliyo makini inawekeza sana katika suala kuimarisha mifumo e.g good and result oriented Staff Performance Systems, Sound Financial Controls and e.t.c
Kiungozi kujinasibu kuwa nimefukuza au nimehamisha watumishi kadhaa kwa kuwapeleka kwenye taasisi zingine hiyo sio sifa nzuri kwa kiongozi bali ni FAILURE, kwa maana umeshindwa kuwatengeneza watumishi wako ili waje na output nzuri kwenye taasisi.
Asante.