Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Alafu Aka Kamtindo Ka Kutibiwa India Na S/a Na Ulaya, Lazima Ni Issue. Haiwezekani Sisi Hatupati Matibabu Kwa Kutojali Kutengeneza Hospital Zetu Na Pesa Zote Wanapeleka Nje Kujitibia. Sisi Wanatuonaje???? Wakati Wa Kampeni Itabidi Tuwaulize Maswali. Lakini Pia Mbona Wabunge Wetu Sijasikia Wanalikomalia Hili Au Kwa Sababu Na Wao Wanajumuishwa Katika Manufaa Hayo??? Jamani Hospitali Zetu Jamani Ziko Hivi Sikwa Sababu Hatuna Pesa. Hapana Ni Kwa Sababu Sirikali Yetu Imeamua Kuzipa Kisogo. Sisi Tunakufa Kwa Magonjwa Ambayo Tungeweza Kutibika.