Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Ili tuendelee inabidi tuwe na utayari wa kulipa kodi, sasa mbona mnakuwa wakali kulipa kodi hii ndogo kwa ajili ya maendeleo. Tuache unafiki, tulipe kodi kama maendeleo tunayataka. Naona hapa tunalumbana kama kiitikio cha wimbo kwa sababu tu aliyeanzisha wa kwetu.
hii kodi unajua ilipitishwa kwaajili ya kufanya nini? kwa nini ni tsh 1000 na siyo tsh200?