Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Huyu dogo wa Ubungo huwa ananikosha sana....Kwanza uandishi wake na mpangilio wa hoja uliotukuka, hakika ni wakustaajabisha sana....Anaweza akaandika Paragragh 10 likini huwa nikisoma zote ni kama nimesoma para ya kwanza. .
 
Si ndo mnawazoeamaga huko bungeni kila kukicha, mnawaita majina ya ajabu na bibi kiroboto anawalinda pamoja na kutoa matusi mazito ya wazi? sasa ngoja watumie forum zilizopo kuwashitaki. Unalalama nini wakati kinachosemwa kina substance? Wewe mwenyewe ulisema Wizara yako iliyakataa hayo mapendekezo, mbona hukusema chochote wakati wa bunge inapopitishwa mpaka umeanza kusikia malalamiko mitaani ndo ukasema hamkupendekeza nyie. Sio mnafiki wewe? Mnyika go go go go, hit them we are right behind you!!
 
Hivi mtu ukipewa uwaziri/unaibu waziri huwezi kukataa? January alipokuwa mbunge tu nilimfagilia kwasababu alikuwa anatumia bongo yake vizuri sana, sawa na walivyokuwa akina Njelu Kasaka, Arcado Ntagazwa. Sasa hivi akili inamtoka kila siku.
 
Unajua mimi mashidwa keelewa kitu kimoja kwani kodi ikipitishwa na wabunge....ndo inahalalisha serekali kuitoza.....mfano wa kijinga lets say wabunge wachanganyikiwe wananchi wote wa watanzania watatozwa kodi kila wakivuta pumzi na wakapitisha....so serekali wao hawatatumia akili zao madamu imepitishwa na bunge itakuwa halali.....kuna kitu hakipo sawa kwa hawa watu wa CCM....
 
In fact nadhani hii thread badala ya kusomeka:

[h=2]"Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni"[/h]
ilitakiwa kusomeka:
[h=2]"Mnyika acha Unafiki, CHADEMA mmeshindwa Bungeni"[/h]
Kwa kweli katika hili CHADEMA wakubali walichemka kuwatetea wananchi; usiniulize kwa nini.
mkuu uli angalia bunge kweli au umekurupuka ku post tu apa?Halafu unaposema tusi kuulize kwa nini sasa ume post hapa ili iweje?
Kukaa kimnya nako ni busara.
 
ahaa wa@@@@@ wameacha kututete huko bungeni wanakuja huku mtandaon ili tujue nini watuchefue huyo mnyika pamo ja na makamba wote wako bungeni nawalikuwa na uwezo wotee kwa pamoja kutetea maslai ya wananch wao kutafuta sifa za kijinga

Mkuu kumbuka wale wanaosema NDIYOOOOOOOOOOO ndiyo wengi kule mjengoni.
 
Na hiki ndicho alichoandika kwenya ukurasa wake wa facebook

Nimesikitishwa sana na malumbano
yanayoendelea kuhusu kodi ya
SimCard kati ya wanasiasa vijana 2,
nimewaandikia kwenye walls zao
"Hakuna sababu ya ninyi wanasiasa
vijana kulumbana namna hii.
Wananchi wanataka uongozi kutoka
kwenu na sio malumbano. Kodi hii ya
hovyo haifai na lazima itoke. Kama
January Y. Makamba na John Mnyika
wote mnaipinga unganeni kuongeza
nguvu ya kuipinga ili iondolewe.
Tuiondoe kwanza kodi hii kisha ndio
muanze malumbano au kutafuta
lawama. Tubadili siasa zetu, tuwe na
siasa za kuwapa majawabu wananchi.
"
 
Huyu dogo wa Ubungo huwa ananikosha sana....Kwanza uandishi wake na mpangilio wa hoja uliotukuka, hakika ni wakustaajabisha sana....Anaweza akaandika Paragragh 10 likini huwa nikisoma zote ni kama nimesoma para ya kwanza. .
 
ahaa wa@@@@@ wameacha kututete huko bungeni wanakuja huku mtandaon ili tujue nini watuchefue huyo mnyika pamo ja na makamba wote wako bungeni nawalikuwa na uwezo wotee kwa pamoja kutetea maslai ya wananch wao kutafuta sifa za kijinga
mnyika hapitishi bajeti, hii bajeti ilipingwa vikali sana na wapinzani wote lakini wa kuwa kura ni za ndiyoooooooooooooooo - walisema ndiyo wameshinda bajeti imepita tunaendeleaa;

kwa hiyo na wewe usiongee as if sisi hatukujua kihachoendelea bungeni wakati wa kupitisha hiki kipengele cha kulipia kodi kadi za simu.
 
Hivi Januari Makamba anajua uwiano wa wabunge waccm + TLP + UDP + CUF compare na wale wa CDM + NCCR - Mbatia ndani ya Bunge? Mnyika angefanya nini Bungeni wakati mayes wa ccm wamesema ndio? By the way, January Makamba ndiye yule kijana aliyepata Div IV ya mwisho, from forest hill secondary school?
 
Tatizo letu sisi tunapenda kulumbana na kupambana kwa mambo madogomadogo na kuacha kukazia kupambana na mambo ya msingi na mazito yanayotusumbua. Tusipende kuwa wanafiki na kupenda kushabikiana katika jambo kama kiitikio cha wimbo, tutafakari kabla ya kuanza kulumbana.
 
Na bado tutapewa namba hadi ya mkeo!
Kama hamuwasikilizi huko bungeni bas wanarudisha kwa mahakimu ambao ndio sisi!
Haya soma hizo msg 600 sasa!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
J.makamba hana jimpya toka aupate uwaziri amekuwa kama zuzu
 
John Mnyika ;kaweka namba yangu ya simu ya mkononi ili watu wanipigie na kutukana. Nadhani ni siasa isiyo ya kistaarabu. Hadi sasa nimepata messages zaidi ya 600. Sio sahihi kabisa. Wabunge WOTE tulishindwa kupitisha maamuzi yenye maslahi kwa mtu wa kipato cha chini. Harakati za mitandaoni haziondoi ukweli huo. Vilevile, kodi hii imepitishwa tarehe 29 Juni 2013. Kwa Mbunge ambaye alikuwa na wajibu wa kulipinga siku hiyo na kulisemea kuanzia tarehe 30 Juni 2013 kuamka leo na kutapatapa mitandaoni ni unafiki mkubwa na ni siasa za kuangalia upepo unapovuma na ni unafiki mkubwa. Namheshimu Zitto Kabwe kwasababu alitoa kauli immediately ya kusema anaona aibu kuwa sehemu ya Bunge hili na kwamba wawakilishi wa wananchi wamewaangusha wananchi. Mwenzake John Mnyika anajitoa fahamu na kufanya harakati kupitia press releases.
Suluhisho hapa sio kulumbana wala kutupiana lawama. Suluhisho ni kurudi Bungeni na kubadilisha pale tulipokosea. Sio kutafuta umaarufu mitandaoni. Kunapotokea kosa, tunasahihisha haraka then we move on. Siasa sio kwenye kila jambo.

SOURCE JANUARY MAKAMBA FACEBOOK PROFILE .past 1min

Lakini pamoja na hayo huoni kuwa mmeteleza,hv kweli mmepewa uongozi kutuumiza au kutusaidia?hayo mnayoyafanya si ya kiongozi bora bali ni bora uongozi
 
Huyu dogo wa Ubungo huwa ananikosha sana....Kwanza uandishi wake na mpangilio wa hoja uliotukuka, hakika ni wakustaajabisha sana....Anaweza akaandika Paragragh 10 likini huwa nikisoma zote ni kama nimesoma para ya kwanza. .
anatuzidi wengi tu, wengine paragraph mbili lazima aweke na tusi, yaani kwake tusi ni kama chachandu kwenye mbuzi choma-- nafikiri mnamjua hakuna hata haja ya kumtaja hapa.
 
Back
Top Bottom