Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Chadema wanafanya siasa za kuvizia kusikia nani kaongea nini nao ndipo waongee.
Mnyika anakonda kwa unafiki huwezi kuwa mnafiki kiasi halafu ulete maendeleo kwa jamii.
Mnyika anapenda sana siasa za kushadadia matukio,hana agenda za kudumu
Mnyika anakonda kwa unafiki huwezi kuwa mnafiki kiasi halafu ulete maendeleo kwa jamii.
Maneno ya hekima sana haya toka kwa KAMANDA WANGU kabwe...viva CHADEMA......
Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree
Ndoa kama ile ya CCM na CUF, sasa kwa Makamba na Mnyika? Mnyika puuza huo ushauri, haumuitaji Makamba kushinda vita hii ya kodi. Wananchi walala hoi tupo pamoja nawe
Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree
big up zitto kabwe!nakukubali b'se huna akili za bavicha new generation ambao malumbano na matusi ndio jadi yao
Makamba ni mnafiki sana...
Makamba nambie kuhusu hii, mnaunga mkono hoja ndiooo! Mnatumia wingi wenu? Mmeumbuka nyie mnatia aibu
Huyo makamba anajidanganya na maccm yake
"To know the enemy is half the victory"
ahaa wa@@@@@ wameacha kututete huko bungeni wanakuja huku mtandaon ili tujue nini watuchefue huyo mnyika pamo ja na makamba wote wako bungeni nawalikuwa na uwezo wotee kwa pamoja kutetea maslai ya wananch wao kutafuta sifa za kijinga
mkuu umewaona na wengine hawa hapa, kujifanya hamnazo kutibu njaa.