Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
mnyika mmbea sana huyu kijana na mnafiki siasa za kijambazi zimepitwa na wakati jenga hoja acha uhuni hautakusaidia kitu.
ina maana hata huyu ni mbea hapa kwenye red?
Mbali na Mnyika,hata CCM kupitia taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ilitaka kodi hiyo iondolewe na Serikali itafute vyanzo vingine vya mapato.