Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Siasa za akina mnyika haziwezi kutufikisha popote make ni unafiki mtupu .

Ningeshangaa sana kama nawe mtoto wa nje wa mzee Makambaa uache kutetea hilo,maana utakulia wapi ugali wako na February ndio amekabidhiwa jukumu la kukutunza maana baba apigi tena kelele
 
Hivi Januari Makamba anajua uwiano wa wabunge waccm + TLP + UDP + CUF compare na wale wa CDM + NCCR - Mbatia ndani ya Bunge? Mnyika angefanya nini Bungeni wakati mayes wa ccm wamesema ndio? By the way, January Makamba ndiye yule kijana aliyepata Div IV ya mwisho, from forest hill secondary school?
Kiongozi ni kweli kajamaa kalilamba Div iv?mwenye link ya matokeo yake aweke apa manake kuna gamba moja lina beza elimu ya Ndugu Mnyika!
 
Ndugu hao mawazr na wabunge wote wa ccm ni wanafiki tu, kama Lukuvi aliweza kuropoka bungen kias cha fedha atakayemgundua mlipua mabomu Arusha iweje liwashinde hili?
 
Kale ka Mnyika mimi nilishakafanyia remote diagnosis siku nyingi sana, kana matatizo ya kichwa aka psychiatric.
 
Siasa za akina mnyika haziwezi kutufikisha popote make ni unafiki mtupu .

Ningeshangaa sana kama nawe mtoto wa nje wa mzee Makambaa uache kutetea hilo,maana utakulia wapi ugali wako na February ndio amekabidhiwa jukumu la kukutunza maana baba apigi tena kelele
 
Naam, bila shaka Makamba imempata hii maana Kamanda Mnyika alishaanza kuwatafutia majibu wananchi kwa kukusanya saini za wananchi wanaopinga tozo hiyo ili kuishinikiza serikali ya CCM iondoe unyonyaji huo. Hii style haitofautiani sana na ile aliyoitumia Mhe.Zitto kukusanya signature za wabunge ili kumshinikiza Waziri Mkuu kujiuzulu endapo Rais asingewaondoa mawaziri wasiowajibika. Naamini mnafiki anajulikana kuwa ni Makamba na hata ile siku ya kupitisha bajeti sauti yake ilisikika ikisema @Ndiyoooooooo!
 
Ningeshangaa sana kama nawe mtoto wa nje wa mzee Makambaa uache kutetea hilo,maana utakulia wapi ugali wako na February ndio amekabidhiwa jukumu la kukutunza maana baba apigi tena kelele
Sitashangaa wewe mke mdogo wa slaa kama hutaongea maneno kama hayo make ndiyo wanaokulisha.
 
Tatizo la CCM kazi yao nikuitikia ndiooooooooo miswada hawasomi kazi ya ni kukoroma tu bungeni
 
ahaa wa@@@@@ wameacha kututete huko bungeni wanakuja huku mtandaon ili tujue nini watuchefue huyo mnyika pamo ja na makamba wote wako bungeni nawalikuwa na uwezo wotee kwa pamoja kutetea maslai ya wananch wao kutafuta sifa za kijinga

Umeona eeh! Wanatafuta sifa za kijinga wa.pu.uzi tu hao!
 
Yani hata hicho kidogo wanakichukua poor maccM

"To know the enemy is half the victory"
 
Mnyika anakonda kwa unafiki huwezi kuwa mnafiki kiasi halafu ulete maendeleo kwa jamii.
 
Sioni tatizo kwa Mnyika kwan tunapaswa kuujua ukweli ni nani mwema kwetu na nani mnafiki. Kwa hiyo hata wakiunganisha nguvu tushajua J.Makamba muongoooo na mnafiki wa kutupwa.
 
Ndoa kama ile ya CCM na CUF, sasa kwa Makamba na Mnyika? Mnyika puuza huo ushauri, haumuitaji Makamba kushinda vita hii ya kodi. Wananchi walala hoi tupo pamoja nawe
 
Kiongozi ni kweli kajamaa kalilamba Div iv?mwenye link ya matokeo yake aweke apa manake kuna gamba moja lina beza elimu ya Ndugu Mnyika!

Baba yake alikuwa mwl wa upe pale tabora yeye huyu alikula iv mbovu sana pale forest alafu anajidai eti naibu waziri wa sayansi na tekinolojia,sayansi na tekinolojia hipi hiyo jamani jamani january anayoijua!!!!!!!!!!tutaweka matokeo yake hapa ya hesabu,na masomo mengine ya sayansi mtacheka sanaaaa humu ndani. hawa washukuru haka kamfumo kakupeana madaraka kwa ukoo ukoo
 
Mnyika ana akili sana, hizi logics alivyopanga hata mtoto wa darasa la Pili anamwelewa, sijui kwa nini hawa magamba hawaelelei including huyu makamba wao.
 
Hivi hii sheria kupitisha muswaada kwa kusema ndiyooooo lini itaisha??mwengine mazuzu yasema tu ndiyoooooooooooo bila hata kuelewa maana yake
 
Back
Top Bottom