Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

ahaa wa@@@@@ wameacha kututete huko bungeni wanakuja huku mtandaon ili tujue nini watuchefue huyo mnyika pamo ja na makamba wote wako bungeni nawalikuwa na uwezo wotee kwa pamoja kutetea maslai ya wananch wao kutafuta sifa za kijinga

magamba maji shingoni ,,, sasa wanatapatapa, hakika 2015 hatuwabakizi watupandishe tu mori kwa kodi zisizoeleweka!! Hongera saaana mnyika... Nape nyie endeleeni tu na hiyo mipango yenu haramu kozi mmeshindwa kutoza kodi kwenye mamigodi mnatamani hata kidogo tulichonacho wananchi,,, akili zenu mmeweka mfukoni mlitegemea mnyika ndo awashauri kuwa hii kodi kuna siku itawatokea puani!!! To late,tena kwa hili ndo muamini kuna mambo kibao kwenye bajeti/bungeni mnayapitisha kwa kura za ndiyooooooooo kiunafiki kisha mnajiweka pemben mkidhani mnawakomoa wapinzan bungeni kumbe mnatukomoa wananchi!!!!! Mm mwanzan nilikuona kama kijana mwenye talent chaman kumbe mbulula tu mtetea tumbo!!
 
hoja yangu ni kwamba kwa nini mnyika hakupinga bungeni anakuja kupinga kwenye mitandao kama siyo umbea ni nini au nikuchezea akiri za watu ili wamuone wa maana kumbe muhuni wa kawaida tu.
Hivi wewe umesoma hoja zake hapo juu jinsi alichofanya bungeni? Au unaandika tu ili na wewe uonekane umeandika? Lakini sikushangai maana hata wabunge wako wa CCM hufikili kwa kutumia masabuli kama wewe unavyofikiri sasa. Maana walipitisha mswaada huu kirahisi tu kwa kusema NDIYOOOOOOOOOO kama watoto wa chekechea, huku wakiongozwa na nyumbu wao 'kijeba' Makinda. Kazi kwelikweli! !
 
Usimlaumu Mnyika. Wakati hii kitu inapitishwa wabunge wote wa Chadema walikuwa Arusha kwenye issue ya bomu "walilojirushia wenyewe" ili kutafuta huruma ya wananchi. Hebu kuwa na kumbukumbu kidogo.

Nachelea kutamka jina likufaalo! Ila elewa tu kuwa nakuna hoja hata moja iliyowahi kupingwa na cdm ikaungwa mkono na ccm! Yaani utafikiri wabunge wa ccm huwa wamerogwa. Kama alikuwa bungeni hawakuona hili na wakapinga badala ya kukaa kimya na kuitikia kile kibwagizo chao cha NDIYOOOOO! Utafikiri wametoka usingizini! Badala yake wanajipongeza kwa utulivu uliokuwepo bungeni wakati chadema walipokuwa hawapo bungeni! Watanzania tumetafakari! Tunaujua ukweli na sasa tunachkua hatua! Sio vibaya mlioko huko ccm majiunga na timu ya ushindi kama kweli mna nia njema na taifa letu!
 
NasDaz una taarifa chama chako kina pinga hii kodi?
Chama changu kipi? Au na wewe ni wale wanaotaka wote tuimbe nyimbo za CHADEMA na atakayeikosoa tu basi huyo ni CCM?! For your information, si CHADEMA wala CCM wanaoweza kunifanya niimbe nyimbo zao!! Lakini kama wewe ni mwana-CHADEMA siwezi kushangaa manake nafahamu hamna utamaduni wa kukosoana...yaani CHADEMA always wapo 100% RIGHT; viongozi hawakosei hata siku moja! BIG UP Mkuu!
 
na wewe mwananchi ulishindwa kupiga kelele wakati kodi inapitishwa

mwananchi angepigia wapi kelele,au we kichwa maji?tangu lini serikali pumb......fuu kama hii ikasikiliza kelele za mwananchi?
 
Mambo mengine ya hovyo sana hawa ndiyo wabunge wetu,wabunge wa kujisafisha kwenye mitandao.
 
100% Mnyika. Makamba anajiona yupo 100% Clear kwa kila kitu na kutufanya sie mazuzu. Yeye kama Naibu Waziri wa hiyo wizara ameshindwa nini kulizuia hilo jambo hukohuko?

Kweli CCm wanatuona Mapimbi sisi. Go Mnyika.

magamba mwendo wa kinyonga kinyonga;; kwa issue ya maji kama hitaji la muhimu kwa kila mtu waziri ana haki ya kuibadili eti katiba ilimruhusu Leo kwa issue ya tozo wizara haikuwa na uwezo wa kuikataa! Mkamba msitake kuona wananchi ni mazuzu!! Kwa kauli za kinyonga.. Mazuzu ni nyie wenyewe!
 
Tumia akili mlipiga wananchi mabomu Arusha kwa makusudi ili wabunge wa CDM wawe kwenye msiba
mpitishe upuuzi wenu huo halafu mnajifanya kuwalaumu,wangekuwepo wenyewe mnajua moto mngeusikia'
Pole sana, naamini wewe ni miongoni mwa wale wanaotamba kwamba wameamka wamejikomboa huku wakiwasikiliza wana-siasa....binafsi sishikiwi akili na wanasiasa; wengi kama sio wote ni Permanent Residents wa Hypocrisy and Liars Kingdoms.....hawatakuja kunipata kwenye mashua zao hata siku moja!

Safiri salama mkuu wangu, wasalimie huko mwendako ingawaje nakuonea gere kishenzi manake nafahamu nahodha na mabaharia wenu ni watamba hadithi na ngonjera hodari!
 
hivi ni sahihi kuweka MOBILE PHONE NUMBER mtu kwenye public,facebook???J.MAKAMBA analalamika mpaka sasa kapokea sms 600 na nyingi ni matusi!!!!kweli mh MNYIKA kafanya kitu sahihi??
 
Yanakimbia bunge ambalo ni forum mahsusi kututetea yanakimbilia facebook kutafta umaarufu wa kijinga. Mnyika mweupe
 
Ni polisi wa chadema ambao ni red bregad wao walivalishwa nguo za polisi.
"Yule Malaya sio mke wangu, lakini alivaa nguo za mke wangu" this is how you sound, next nitakuuliza, alizipataje? Huo ni UDHAIFU wa Police kuwaachia red Brigade kutumia Uniform zao. Leta hoja nyingine, ulichosema ni kashfa nyingine kwa serikali ya CCM
 
hivi ni sahihi kuweka MOBILE PHONE NUMBER mtu kwenye public,facebook???J.MAKAMBA analalamika mpaka sasa kapokea sms 600 na nyingi ni matusi!!!!kweli mh MNYIKA kafanya kitu sahihi??

Haka ka mnyika ni kajinga, makamba amburuze mahakamani, wanazoea. Muda wa kubembelezana umekwisha
 
"Yule Malaya sio mke wangu, lakini alivaa nguo za mke wangu" this is how you sound, next nitakuuliza, alizipataje? Huo ni UDHAIFU wa Police kuwaachia red Brigade kutumia Uniform zao. Leta hoja nyingine, ulichosema ni kashfa nyingine kwa serikali ya CCM

Tumia kichwa kufikiri pia sio kufugia nywele pekee
 
Me mwenyewe sipo upand wa Zitto
Ni Zitto na Shibuda peke yao wanaoshirikiana na viongozi wa CCM, Wabunge wengine wengi wa CDM hawapendwi na CCM, serikali ya CCM, viongozi wa CCM na serikali yake. Huu ushauri wa kushirikiana kati ya Div IV na Div I ulianza lini? Kweli Div I ya nguvu anahitaji msaada wa Div IV ya mwisho? Zitto amekwisha kisiasa, hana mvuto tana mbele ya wasomi
 
Issue sio degree Jina; Tumewaona Ma-Professors wakishindwa Kuongoza na hawana cha Kufanya. Issue ni Kujua kuchambua mambo, Degree ni nini?? Bila kujua kinachohitajika kwa wakati gani.. Wasomi wenye ma Phd wameweka mfukoni elimu zao na Kufikiria kwa kutumia matumbo. Ondoa mawazo yako mgando huyu Kijana ni KICHWA wether you like or not..Enjoy Oja sio Elimu ya Mtu " Elimu za Vyuo Vya Tanzania njingi ni Feki" wala usijalibu kuturudisha nyuma. The Guy is smart....

Kama ni degree hata MULUGO "Zimbabwe" anayo ... Hongera Mnyika, degree or no degree nakukubali! Pigana hadi kieleweke.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni Zitto na Shibuda peke yao wanaoshirikiana na viongozi wa CCM, Wabunge wengine wengi wa CDM hawapendwi na CCM, serikali ya CCM, viongozi wa CCM na serikali yake. Huu ushauri wa kushirikiana kati ya Div IV na Div I ulianza lini? Kweli Div I ya nguvu anahitaji msaada wa Div IV ya mwisho? Zitto amekwisha kisiasa, hana mvuto tana mbele ya wasomi
Ivi unawezaje kumlinganisha mh zitto na zero mhuni mnyika??
 
hoja yangu ni kwamba kwa nini mnyika hakupinga bungeni anakuja kupinga kwenye mitandao kama siyo umbea ni nini au nikuchezea akiri za watu ili wamuone wa maana kumbe muhuni wa kawaida tu.

Alipinga na aliwasilisha jedwali la mabadiliko wakayakataa.
 
Back
Top Bottom