Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
- Thread starter
- #201
Kaaazi kweli kweli.
Namkubali sana John Mnyika. Na namkubali sana January Makamba. Wacha tuone hii itakwisha vipi.
Mkuu Makamba kwa Mnyika ni sawa na Mgambo ya Handeni kukipiga na Bayern Munich.
Au Tahiti wakipige na Brazil.