Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

Hongera J J Mnyika Ww Ni Noma Kamanda, Kanyaga Twende Kamanda!
 
Aliyekuwa Waziri wa Maendeleo Uingereza, Bi Claire Short, alipinga kwa nguvu zote BA kuiuzia Rada Tanzania. Na ilipotokea kwamba hoja yake ilishindwa, basi, waziri huyo alijizulu.

Kama kweli January Makamba anasema hakubaliani na kodi hii ya sim card na kwamba hoja yake ya kukataa imetupiliwa mbali, basi out of principle Makamba alitakiwa ajizulu. Very simple.

Na kwa hili Makamba anatakiwa achague moja, ama aungane na wanaopinga hiyo kodi- kwa kujiuzulu, au aungane na Mgimwa and eat the money. Hawezi kuendelea kuiongoza wizara ambayo anaamini 'inanyonya' wananchi kupitia SIM card. Ama anakubaliana na kodi au anakataa. He cannot have it both ways.

Mkuu, hapa umepigilia msumari wa mwisho. Makamba ni mnafiki wa kutupwa. Kama hakubaliani na hayo mambo ambayo yako chini ya wizara yake, na pia kama alijaribu kuishauri serikali na imeshindikana basi angeachia ngazi vinginevyo ni unafiki.
 
Ni akina nani hao serikalini wenye nguvu namna hiyo kumzidi waziri katika wizara yake? Mr Makamba I would like to know them by names. Hawa ndiyo wanao tuchezea sis Watanzania
 
Silly from january

kwa siasa za bunge letu na ushabiki wa kipuuzi how can mnyika au wapinzani kushinda hoja yoyote?

Wabunge wa ccm walifanya maamuzi kishabiki sasa wanataka kufa na wenzo

hongera mnyika

good point
 
Mnyika ni -------- pamoja na wabunge wote wa CDM ukiondoa Zitto ambaye alishajua alichokosea na kukiri kuwa amefanya makosa kutii amri ya Dj Mbowe kwenda msibani na kuacha swala la simu nijadiriwe yeye akiwa hayupo bungeni na kupitishwa hivyo alishindwa kutetea wananchi wake maana wananchi wake hawakumtuma kwenda kuzika.

Hapa CDM lazima mkiri upumbavu wenu wa kwenda kuzika wakati mngeweza kutuma wawakilishi wengi tu ambao si wabunge na wabunge wakiendelea kuwakilisha wananchi wao sasa nashangaa mnaanza kulisemea swala la bungeni mitandaoni wakati Mnyika na CDM ni sehemu ya bunge huu kama si Upumbavu ni nini?

Wabunge wa CDM mnatakiwa mkue
 
naungana na wewe, hawa jamaa kama kitu hawakitaki, pamoja na uchache wao bunge linatikisika....full miongozo, full kutoana bungeni na ikibidi, wenyewe wanasepa......lakini hili la kadi za simu kimyaaaa; hata kama walipinga, si kwa staili ile iliyozoeleka; ni kupinga ili mradi tu lakini hawakuwa determined!

nyie midudu acheni umbururaaa wakati jamaa wanafanya uaramia wa ndiooo makamanda walikiwa msibani mbona mnajitoa akili mnajifanya hamjui kama wakati huo mliwatandika mabomu kule arusha?
 
huyu bichwa wa bumbuli anajidanganya kweli.
hivi bongohii kuna asiemjua MNYIKA J.JOHN kweli???!
ahahahaaaaa...unatamani ungekua jembe J.J MNYIKA acha dhambi we -----' mshukuru MUNGU kwa jinsi ulivyo alafu acha dharau.watu washaamka.
 
Mnyika kwa hili umechemka#I will never hesitate to tell you that you better go for at least a certificate of Laws kaka#
 
Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree

Sawa hana degree hata moja! Hakuna anaebishana na wewe. Najua wewe utakua na degree tatu i.e phd, ila kijana mzima kama wewe mwenye degree tatu umefanya nini cha kumzidi Mnyika ili tuone umuhimu wa degree zako?? Nakuhakikishia uombe Mungu Mnyika asiende chuo, manake km umekubali hana degree hata moja na yuko vile alivyo, akipata moja achilia tatu ulizo nazo wewe atakuaje?? Kwanza namshauri asihangaike na degree, asome vitabu mbali mbali tu inatosha!! We kaa na degree zako kumi!!
 
Mnyika anapenda sifa za kizamani sana ndio maana alichemka chuo kijana mzima hana degree

kwani degree ndio nini? wewe na degree yako umebadilisha maisha ya watu wangapi?
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mnyikaaaaa wewe ni jembeeeeeeeee....
 
Ushabiki wa vyama vya siasa umetuondolea uzalendo kabisa.
 
Mnyika ni -------- pamoja na wabunge wote wa CDM ukiondoa Zitto ambaye alishajua alichokosea na kukiri kuwa amefanya makosa kutii amri ya Dj Mbowe kwenda msibani na kuacha swala la simu nijadiriwe yeye akiwa hayupo bungeni na kupitishwa hivyo alishindwa kutetea wananchi wake maana wananchi wake hawakumtuma kwenda kuzika.

Hapa CDM lazima mkiri upumbavu wenu wa kwenda kuzika wakati mngeweza kutuma wawakilishi wengi tu ambao si wabunge na wabunge wakiendelea kuwakilisha wananchi wao sasa nashangaa mnaanza kulisemea swala la bungeni mitandaoni wakati Mnyika na CDM ni sehemu ya bunge huu kama si Upumbavu ni nini?

Wabunge wa CDM mnatakiwa mkue

Umapocoment uwe na akili timamu na kumbukumbu .spika alipongeza bunge kwa kuwa na hali ya utilivu na mambo yakaenda sawa wakati wabunge wa chadema walipokukuwa kwa msiba arusha,sasa unajifunga kwa kuwa bila chadema bungeni mambo yanayoamuliwa na vilaza wa ccm ni hovyo kama walivyo.wanabaki wakisinzia nakiwaza pa kuiba.hii ni hataro sana ka mawaziri wanajikosoa maamuilzi ya baraza lao
Big up kamanda mnyika
 
hahahahah utajiju na itikadi zako za kisiasa utajibeba kujipika mwenyewe upewe pesa ya supu asuhi kwikwikwi
 
Mnyika ni bomu, kazi yake ni kupiga kelele tu,
wanataka kushika hisia za watu kipindi hiki kibaya.
Tunachotaka ni kodi hiyo kuondolewa.
 
Jamani mbona maelezo yanajieleza au ndio huwa twachangia bila kusoma mada imeanzia wap wap kosa katika hili hadi tuwalaumu na wabunge wa chadema maana washasema wakati magamba wanapitisha hili wao walikuwa Mkoani arusha wakishiriki mazishi ya wananchi waliolipuliwa na ahhh sijui nan yule sasa hapo kosa li wapi kwa wabunge makini na mahili wa chadema tufike mahala ushabiki wa kipumbavu na kijinga tuache kwenye hili na yote ambayo wabunge wa ccm na serikali yao wamepitisha kwa lengo la kumnyonya mwananchi wa kawaida mnastahili lawama na laana ya muumba itawashukia siku si nyingi kwa udhalimu huu mnaowafanyia watanzania masikini.
SHAME ON YOU CCM.
 
Back
Top Bottom