Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

Ukiifatilia kwa umakini ile video clip ya maombezi yake,hakika utabaini kwamba ile ilikuwa ni maigizo tena ya kupangwa kabisa. Ukianza pale anapoitwa na Nabii wake,hadi kuanguka kwake ni wazi wazi yale hayakuwa mapepo..!
Lakin ukweli ni kuwa,chanzo cha maigizo hayo ni magumu anayopitia Rose..,basi tu njia anayoitumia kuya-solve huenda ndiyo inaweza iwe ya kumdhalilisha sn km hivyo. Mama anawahitaji washauri wenye hekima zao ili wamrudishe kundini kwa njia sahihi. Tukubaliane eneo moja kwamba,Rose ni msanii wa nyimbo za injili na si mwinjilisti. Hivyo kuanguka dhambini inatokea sawa na wasanii wengine wa dansi or bongofleva....asaidiwe tu kwa njia iliyo sahh arudi kwene tasnia na si kumtupia madongo tu.
Not in this life.... Kila mtu anaangalia anapata nini kwenye nini.... People are so selfish halafu wana roho mbaya na most of us tuna huruma za kinafique... We pretend to care... We pretend to help, to assist lakini rohoni tunachekelea na kusema kiko wapi sasa....
 
Nimesoma post hii. Kabla haijasoma niliangalia clip sehemu nyingine.

Nilisikitika sana.
Ule uso umepakwa nini
Ile mikono ina nini.

Lakini alipoanza kuombewa akaanguka amekimbilia kuziba sketi yake. KITU HIKI HATA KABLA YA KUSOMA HAPA ILINISHTUA JUU YA UKWELI KWA KINACHOTOKEA.
Nasoma hapa naona hilo na zaidi, kwamba fedha aliyopewa inaweza kuwa ni ushawishi akubali kutumika. Lakini pia urejeaji maneno alipoamka na alipoanguka(wakati anaombewa). Majini kumi......

ROSE ANAONEKANA ANA MATATIZO MENGI AMBAYO YANAMCHANGANYA, hapo tu nataka mengi hatujui mengine.

Hofu, majibu aliyoyatafuta hayatampa amani anayoitafuta, kwa kuwa hajasema kweli, anazidi kumkosea Mungu.

Anatakiwa amrudie Mungu wa kweli, akiri ukweli mbele za Mungu wake. Awaombe radhi aliowakosea katika kazi yake ya uimbaji awe wazi azizungushe asizunguke. Awe mwaminifu tena. Mungu atamrudisha

Wasalam waleikhum..!

Kidogo tumepumzishwa kwenye zile sinema zetu.... Tumepata msimu mdogo wa mwanadini muimba nyimbo za injili mwanadada na mama wa watoto Rose Muhando.

Hii inaweza kuwa mada ya NNE kumhusu... Japo nyingine zilizotangulia zikimjadili Rose wa sasa kama celeb na kile kinachomtokea...

Kwanza itambulike kuwa hii ni vita ya kiroho, falme za giza dhidi ya falme za nuru, wakuu wa mbingu dhidi ya wakuu wa anga...

Rose ni catalyst tu katika vita kubwa ya kiroho na ya kidunia... Nuru dhidi ya giza... Alikuwa jemadari msimu wa kwanza akapambana vilivyo, akazishinda falme za giza katika maeneo mengi.. Lakini kwakuwa ana mwili wa damu na nyama, alilemewa... Akazidiwa akampa adui nafasi... Sasa anatengenezwa...!

Rose Muhando ni nani?

Kwa wale waliobahatika kusoma habari zake huko nyuma... Aliingia kwenye uimbaji wa nyimbo za injili akitokea kwenye ndoa iliyojaa mateso (kwa mujibu wake) akiwa na karama ya uimbaji na mahitaji ya nyakati kumbeba aliibuka kuwa mmojawapo wa nyimbo za injili mwenye kipaji na mafanikio mengi... Lakini mafanikio yake yalikuwa kwenye hatari kubwa kwakuwa aliyapata kwa kupambana na shetani (kimtazamo)

Kuna wakati tunaweza kusema kwa hakika Rose alikuwa mlokole kamili na nyimbo zake zikiwaokoa na kuwabariki wengi....

Misukosuko ilipoanzia

Zaburi ya 23 kuna mstari unasema... Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti....! Kila mmoja wetu ana mapito yake ... Hata waimbaji wenzake walishapitia anayopitia... Si wa kwanza yeye na hatakuwa wa mwisho... Shida iko hapa, je unapopitia kwenye mapito unasimama upande gani? Wa nuru au giza? Anguko lako ama kusimama tena vitategemea ulikuwa upande gani... I mean upande gani uliupa airtime kubwa....! Ni wazi Rose alipojaribiwa aliingiwa na upofu na kumpa Mungu wake kisogo akaenda kufanya kolabo na upande wa giza... Sasa anasulubiwa.. Msimu huu wa pili anamsaidia adui.. Na huu ndio ushindi uliokuwa unatafutwa na falme za giza

Imekuwaje aibukie Kenya?

Kwanza kiuhalisia Rose ni kweli kabisa anaumwa na hayupo sawa.. Ni kama mwaka sasa tumekuwa hatusikii habari zake nzuri.. Amepitia mapito mengi, amechapwa akachapika.. Anaonekana live ana POP mkononi vidonda na makovu.. Na kwa maneno yake mwenyewe kwa takriban siku 90 alikuwa hajui anatoka wapi anaenda wapi... Amekuwa kama chizi fresh, zinatoka zinarudi... Alifikaje Kenya kwa hali ile? Alipelekwa? Alifikaje kwa yule mtume nabii?
Kisanga kinaanzia hapa!

Dunia ya leo watu hupenda kuyatumia matatizo ya wengine kujinufaisha ama kuwatumia wao wenyewe pia...

Rose Muhando ni jina kubwa Afrika mashariki. Habari zake zikisikika popote ndani ya jumuiya hii si jambo geni

Mtume na nabii kwa kuiona fursa... Anamuahidi kumsaidia Rose kwa masharti hasa la kutaka amuombee mbele ya waumini wake kukiwa na camera zinazochukua video na picha.. Lakini la zaidi anamfundisha cha kuongea..

Nimeangalia kwa makini video ile.. Sijui misa ilianzaje lakini anaonekana mtumishi wa Mungu akimwita Rose aliyechoka na kuanza kumuombea.

Ghafla Rose anaanguka na mapepo yanaaza kuongea kuwa kuna wivu juu ya mafanikio yake, hawataki aimbe, wamechukua magari yake wanataka kumuua nknk... Lakini ni wakati huu mapepo yakiongea Rose ana ufahamu wa kuondoa mkono wa mtumishi mdomoni mwake aweze kuongea vizuri....

Baada ya maombi mafupi mapepo yanatimka na hapo hapo Rose anazinduka na kuanza kuongea yaleyale yaliyokuwa yakiongelewa na mapepo... Halafu anaendelea kuelezea changamoto za familia yake, watoto kukosa ada nk.. Halafu anamalizia kwa kumshukuru Mungu...

Rose, Mungu hadhihakiwi... Mapepo hayatoki kivile na fahamu hazirudi kivile.. Nguvu ya pepo kutoka si ya kitoto (nitaelezea kwenye mada nyingine)

Umetumika vibaya kwenye mapito yako... Angalia wanaokutumia wasikuongoze kwenye anguko kuu
 
Sehemu moja nilipojua hakuna ukweli ni pale kisket alichovaa kupanda juu huku pepo likiwa limeshapanda akawa anashusha ile sket namanisha anajifunika vizur

Ukiwa na pepo huwi vile, na kilichofanyika unakua huna kumbukumbu nacho kabisa tena kama ni kustiriwa vzr wanakustiri wanaokusaidia kuondoa hilo pepo

Hapo ndio nikajua hamna kitu ni kiki
Sawasawa...
 
Mie lile lisauti sidhani km la bongo movies,hao wasanii wa bongo movies hawajafikia Kiwango kile 😂😂
 
Huyu dada long time ni msanii,hata ulokole wake ni mashaka kitambo sana ,ukiacha pombe Hadi bangi anavuta
Long time kitambo ni mteja, ila wanakondoo hawaamini. Wanasema ni mapito.
Mihafarati haijawahi kumwacha mtu salama
 
Wasalam waleikhum..!

Kidogo tumepumzishwa kwenye zile sinema zetu.... Tumepata msimu mdogo wa mwanadini muimba nyimbo za injili mwanadada na mama wa watoto Rose Muhando.

Hii inaweza kuwa mada ya NNE kumhusu... Japo nyingine zilizotangulia zikimjadili Rose wa sasa kama celeb na kile kinachomtokea...

Kwanza itambulike kuwa hii ni vita ya kiroho, falme za giza dhidi ya falme za nuru, wakuu wa mbingu dhidi ya wakuu wa anga...

Rose ni catalyst tu katika vita kubwa ya kiroho na ya kidunia... Nuru dhidi ya giza... Alikuwa jemadari msimu wa kwanza akapambana vilivyo, akazishinda falme za giza katika maeneo mengi.. Lakini kwakuwa ana mwili wa damu na nyama, alilemewa... Akazidiwa akampa adui nafasi... Sasa anatengenezwa...!

Rose Muhando ni nani?

Kwa wale waliobahatika kusoma habari zake huko nyuma... Aliingia kwenye uimbaji wa nyimbo za injili akitokea kwenye ndoa iliyojaa mateso (kwa mujibu wake) akiwa na karama ya uimbaji na mahitaji ya nyakati kumbeba aliibuka kuwa mmojawapo wa nyimbo za injili mwenye kipaji na mafanikio mengi... Lakini mafanikio yake yalikuwa kwenye hatari kubwa kwakuwa aliyapata kwa kupambana na shetani (kimtazamo)

Kuna wakati tunaweza kusema kwa hakika Rose alikuwa mlokole kamili na nyimbo zake zikiwaokoa na kuwabariki wengi....

Misukosuko ilipoanzia

Zaburi ya 23 kuna mstari unasema... Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti....! Kila mmoja wetu ana mapito yake ... Hata waimbaji wenzake walishapitia anayopitia... Si wa kwanza yeye na hatakuwa wa mwisho... Shida iko hapa, je unapopitia kwenye mapito unasimama upande gani? Wa nuru au giza? Anguko lako ama kusimama tena vitategemea ulikuwa upande gani... I mean upande gani uliupa airtime kubwa....! Ni wazi Rose alipojaribiwa aliingiwa na upofu na kumpa Mungu wake kisogo akaenda kufanya kolabo na upande wa giza... Sasa anasulubiwa.. Msimu huu wa pili anamsaidia adui.. Na huu ndio ushindi uliokuwa unatafutwa na falme za giza

Imekuwaje aibukie Kenya?

Kwanza kiuhalisia Rose ni kweli kabisa anaumwa na hayupo sawa.. Ni kama mwaka sasa tumekuwa hatusikii habari zake nzuri.. Amepitia mapito mengi, amechapwa akachapika.. Anaonekana live ana POP mkononi vidonda na makovu.. Na kwa maneno yake mwenyewe kwa takriban siku 90 alikuwa hajui anatoka wapi anaenda wapi... Amekuwa kama chizi fresh, zinatoka zinarudi... Alifikaje Kenya kwa hali ile? Alipelekwa? Alifikaje kwa yule mtume nabii?
Kisanga kinaanzia hapa!

Dunia ya leo watu hupenda kuyatumia matatizo ya wengine kujinufaisha ama kuwatumia wao wenyewe pia...

Rose Muhando ni jina kubwa Afrika mashariki. Habari zake zikisikika popote ndani ya jumuiya hii si jambo geni

Mtume na nabii kwa kuiona fursa... Anamuahidi kumsaidia Rose kwa masharti hasa la kutaka amuombee mbele ya waumini wake kukiwa na camera zinazochukua video na picha.. Lakini la zaidi anamfundisha cha kuongea..

Nimeangalia kwa makini video ile.. Sijui misa ilianzaje lakini anaonekana mtumishi wa Mungu akimwita Rose aliyechoka na kuanza kumuombea.

Ghafla Rose anaanguka na mapepo yanaaza kuongea kuwa kuna wivu juu ya mafanikio yake, hawataki aimbe, wamechukua magari yake wanataka kumuua nknk... Lakini ni wakati huu mapepo yakiongea Rose ana ufahamu wa kuondoa mkono wa mtumishi mdomoni mwake aweze kuongea vizuri....

Baada ya maombi mafupi mapepo yanatimka na hapo hapo Rose anazinduka na kuanza kuongea yaleyale yaliyokuwa yakiongelewa na mapepo... Halafu anaendelea kuelezea changamoto za familia yake, watoto kukosa ada nk.. Halafu anamalizia kwa kumshukuru Mungu...

Rose, Mungu hadhihakiwi... Mapepo hayatoki kivile na fahamu hazirudi kivile.. Nguvu ya pepo kutoka si ya kitoto (nitaelezea kwenye mada nyingine)

Umetumika vibaya kwenye mapito yako... Angalia wanaokutumia wasikuongoze kwenye anguko kuu
hiyo video iliyopo mtandaoni siyo ya Rose Mhando Bali ni ya Rose Wanyiku
 
Hivi Rose Mhando si alikuwa na management yake?? Imekuwaje Management ambazo zilikuwa zikinufaika na Uimbaji wake zimuache atumbukie kwenye hayo madhira??

Pole nyingi kwake, ingawa kuna umuhimu wa kujifunza kwa Bahati Bukuku ambaye tangu ameanza kuimba Gospel sijabahatika kusikia skendo chafu kumuhusu ikiwemo matumizi ya madawa ya kulevya.
Mungu aendelee kumpigania hasa kwenye hiki kipindi kigumu anachopitia( Zaburi 23).
 
skendo ya huyo ni kujichubua na kuendelea kutembea na wanaume wengine ilihali akijua ukweli wa hali yake ya kiafya,sio uungwana kabisa huo
 
Kwani tatizo ni lipi? Mbona imekuwa big deal, Hivi bahati bukuku au Shusho akiombewa hapa bongo akaanguka tutasema ana mapepo? Au ingekuwa topic kama ilivyosasa endapo dada yetu huyu angeanguka hapa bongo.

Mi naonaga Hizi ni mambo za kawaida sana kwa wanamama maana kuanguka ni kawaida sana kwao. Sema kwa kuwa ni abroad ndio maana imekuwa big deal. Tumsubiri arudi nayeye atupe wanchi wanchii za hayo mambo huko

Kenya ni abroad?
 
skendo ya huyo ni kujichubua na kuendelea kutembea na wanaume wengine ilihali akijua ukweli wa hali yake ya kiafya,sio uungwana kabisa huo

Hilo ni jipya masikioni mwangu, kama anafanya hivyo ni makosa na muhimu akaomba toba kwa Mungu wake??
skendo ya huyo ni kuendelea kutembea na wanaume wengine ilihali akijua ukweli wa hali yake ya kiafya,sio uungwana kabisa huo
Kuhusu hili Mkuu nzagambadume utakuwa na majibu ya vipimo vyake vikionesha hali ya afya yake???
 
Not in this life.... Kila mtu anaangalia anapata nini kwenye nini.... People are so selfish halafu wana roho mbaya na most of us tuna huruma za kinafique... We pretend to care... We pretend to help, to assist lakini rohoni tunachekelea na kusema kiko wapi sasa....
Si wote wenye nia mbaya...Wachache wenye hekima,busara na huruma waliopo wajitokeze kumsaidia...Yatapita na atayapita salama tu
 
Back
Top Bottom