Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,999
- 29,241
Sikuwahi kusikia ila naomba unijuze, kwenye hiyo yuzo ya Kilimanjaro lager award alipewa nini?Yap mlokole gani alienda kuchukua tuzo ya Kilimanjaro lager award
Sikuwahi kusikia ila naomba unijuze, kwenye hiyo yuzo ya Kilimanjaro lager award alipewa nini?Yap mlokole gani alienda kuchukua tuzo ya Kilimanjaro lager award
Pepo lake limejaa hekima na ustaarabu mwingi sana
😂😂😂😂😂Rose aliokoka kweli lakini shetani alimnyemelea na kumdaka kirahisi sana
Aliambatana na wavaa ngozi za kondoo kumbe ndani mbwa mwitu
Watu hao walifaidika na kutajirika kiulimwengu
Rose alisema maagano na Mungu alienda kinyume na maagano Mungu amekasirishwa naye
Rose bado anaambatana ni miungu watu na si Mungu wa kweli
Wengi wanaamini hawa watumishi wa "Mungu" hewa
Nguvu ya shetani unajivika kila siku Rose
Mtafute Mungu wa kweli utapona
Wee ndio nabii shilla mkuu,ama majina tu,Rose anapita kwenye moto Mkubwaaa..
Kuna mahojiano kwenye gazeti flani anasema matatizo yalianza baada ya kiongozi Mkubwa flani kumtaka kingono, hiyo ilikuwa baada ya kumsaidia kurekodi nyimbo, alipokataa ndio zikaanza tuhuma za utapeli.
Anasema anakamatwa na polisi anapigwa hadi anazimia akiwa hapo Dodoma, mtu huyo Mkubwa anaushirikiano na viongozi wa dini, kashfa zikaanza, Mara katoa mimba n.k
Waliposhindwa zikaanza vita ya nguvu za Giza, kwanza akapata ajali kubwa akapona, akaumwa na joka kubwa nadhani hadi sasa ana bandeji,
Waliposhindwa magonjwa yakaanza yasiyoonekana hospitali...
Lakini vipigo vya polisi ndivyo vilivyomfanya akimbie nchi
Haya sasa.......Unachosema ni kweli lakini Rose alikuwa mwislamu, hajui misingi ya ukristo, kakutana na wanaojinufaisha tu kwa mgongo wake, hajawahi kupata mafundisho ya ukristo achilia mbali wokovu, kakutana na upentekoste njaa ambao unaokoka asubuhi, jioni umejaa Roho kesho unaenda kuhubiri.
Ila Nina hisia mbaya kuwa wewe ni miongoni mwa maagenti wa devil, MNA mission ya kuangusha wote waliosimama katika Kweli kama alivyokuwa Rose, na sasa mnachekelea kwamba " mission accomplished " . umeleta mada hii kumdhihaki...
Andiko linasema, " usifurahi ee adui yangu niangukapo nitasimama tena"
Sasa mnamvua nguo na kumtoboa macho kama Samsoni, lakini najua mwisho wake utakuwa Mkuu kuliko mwanzo wake.
Kama nimemuelewa mshana vyema kuna namna ya kumtambua mtu anayepretend kutokwa na mapeponna yule yanayotoka for real. So inshu kubwa ni yy kuonekana kapretend it was a planned issue.Kwani tatizo ni lipi? Mbona imekuwa big deal, Hivi bahati bukuku au Shusho akiombewa hapa bongo akaanguka tutasema ana mapepo? Au ingekuwa topic kama ilivyosasa endapo dada yetu huyu angeanguka hapa bongo.
Mi naonaga Hizi ni mambo za kawaida sana kwa wanamama maana kuanguka ni kawaida sana kwao. Sema kwa kuwa ni abroad ndio maana imekuwa big deal. Tumsubiri arudi nayeye atupe wanchi wanchii za hayo mambo huko
Ohoooooo!skendo ya huyo ni kujichubua na kuendelea kutembea na wanaume wengine ilihali akijua ukweli wa hali yake ya kiafya,sio uungwana kabisa huo
FactRose aliokoka kweli lakini shetani alimnyemelea na kumdaka kirahisi sana
Aliambatana na wavaa ngozi za kondoo kumbe ndani mbwa mwitu
Watu hao walifaidika na kutajirika kiulimwengu
Rose alisema maagano na Mungu alienda kinyume na maagano Mungu amekasirishwa naye
Rose bado anaambatana ni miungu watu na si Mungu wa kweli
Wengi wanaamini hawa watumishi wa "Mungu" hewa
Nguvu ya shetani unajivika kila siku Rose
Mtafute Mungu wa kweli utapona
Huu mwandiko ni wa mtanzania auRose ilikuwa muumini wa kabisa Dodoma pia ilikuwa mwanakwaya wa kabisa, alijiondoa kwenye kabisa baada ya kupata umaarufu kwaya yao ambapo kitendo hicho hakikulifurahisha kanisa kwani lilimsihi asiondoke lakini alikataa.
Mshana, mbona nasikia anatumia madawa ya kulevya ndiyo yamemharibu?[/QUOT