Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

kama unahisi umesimama angalia ucje kuanguka, shetani ni mjanja sn unaweza ukujua unamwimbia Mungu kumbe unatukuza ufalme wa Devil , Mungu ni msafi na hashiriki popote kwenye uchafu (majungu, dhuluma, n.k), devil hupenda kumuinua mmoja ili apoteze wengi na anatumia sn katika hii tasnia ya mziki uwe wa dini or ect,, Je wanayoimba yote ndivyo Bible inavyofundisha?, au kuna mafundisho ya shetan na mafunzo ya Dini za uongo ambayo huingia wengi na kuamini?, Aliye upande wa Mungu cku zote hawezi kuangushwa na ibilisi sababu Mungu atamlinda yule amwabuduye kwa kweli, tukubaliane kwenye hili dunia ya leo uongo ni mwingi sn na wengi tunaamini ni ukweli, shetani si rafiki, Yesu alisema ile njia ni nyembamba na wachache ndo wanaijua, ila wengi tunadhani tupo katika hiyo njia kwa kusikiliza nyimbo za dini na kuimba, kwenda makanisan na misikitin, lakin kumbe tupo kwenye ile njia ya pana ya kwenda kwenye uharibifu, leo hii ya rose yanasikika sababu ni mtu maarufu, ila wengi tunapita katika misukosuko mingi katika maisha yetu ambayo ni sawa na rose anayopitia leo, ila tukumbuke shetan ni chanzo cha mapepo yote machafu na yanamjua Yesu na kumuogopa ndo mana Yesu alisema wengi watatoa mapepo kwa jina langu lakini mwisho wa siku atawakana, kwann? sababu hawafanyi yale mapenzi ya Baba yake.
 
Sehemu moja nilipojua hakuna ukweli ni pale kisket alichovaa kupanda juu huku pepo likiwa limeshapanda akawa anashusha ile sket namanisha anajifunika vizur

Ukiwa na pepo huwi vile, na kilichofanyika unakua huna kumbukumbu nacho kabisa tena kama ni kustiriwa vzr wanakustiri wanaokusaidia kuondoa hilo pepo

Hapo ndio nikajua hamna kitu ni kiki
Madame S kumbe na wewe mpashu[emoji4]
 
Rose mwezi uliopita alikuwa mwanza kazunguka sana kwa show za milioni na usu per show zilikuwa kama 5 hivi nyumba ya dodoma bado anayo,UTAPELI MTUPU,aache UNGA cocaine na heroine zinamsumbua
mmmhhh kwaio yale magari analalamika ilikua uongo?

wabongo nuksi jamani
 
Mshana Jr umeanza vizuri ila umemaliza vibaya umemuattack rose direct, rose ana matatizo na hakuna haja ya kumungunya maneno rose anatumia unga hilo lipo wazi hata aliyekuwa meneja wake msama anajua hilo suala lililopo kwa sasa ni jinsi gani rose anasaidiwa siyo kumtupia lawana,

Uzuri wewe unajua mambo ya nguvu ya giza na bianadamu wanavyotumia katika kujitafutia ridhini kwaiyo kwa jinsi rose alivyojua vizuri kimziki wa dini hata angeacha kuimba akamua kukaa tu mjini na kuwa muumini wa imani yake rose asingekufa njaa kutokana na kazi aliyoifanya anauwezo wa kupata unafuu wa maisha yake mpaka kufa kwake yeye angekuwa anapishana na barua za mwaliko tu wa semina nje ya inchi na ndani ya inchi,

Tujiulize ilikuwaje rose akaanza kubwia unga hapo ndio tatizo kuna source ambayo miye na wewe hatuijui ila watu wake wa karibu wanaijuia waseme

Meneja wake msama atakuwa anajua asimtelekeze rose leo kisa hana maslahi naye rose au kisa hawadaiani akumbuke mchango alioutoa rose kipindi hana matatizo amsaidie
haya maisha bwana, yana mwisho mkuu
 
Alibugi ramani siku alipokubali kupokea Tunzo za Kilimanjaro Music Award kama muimbaji wa Nyimbo za Dini. Na mnukuu Joh Makini kwenye wimbo wake wa "HAO"
 
Chonde chonde waimba injili, msitamani kuingia siasani. Injili haitaki uchafu wa siasa. Injili iko juu ya siasa. Siasa zina rafu kushindana na washindani. Kuiga wanamuziki wa kidunia waliopenya siasani kwa kutumia miziki yao ni tofauti muimba injili kufanya hivyo. Injili ni utakatifu haitaki kuchanganywa na siasa moja kwa moja. Wanasiasa waache kuwatumia waimba injili kwenye matukio yao ya kisiasa watawaharibu vibaya karama zao.
Ndugu una maana Rose aliwahi kujihusisha na siasa? Labda utanisaidia ujaribu kuelezea, ni lini na ilikuwa chama gani cha siasa
 
Sehemu moja nilipojua hakuna ukweli ni pale kisket alichovaa kupanda juu huku pepo likiwa limeshapanda akawa anashusha ile sket namanisha anajifunika vizur

Ukiwa na pepo huwi vile, na kilichofanyika unakua huna kumbukumbu nacho kabisa tena kama ni kustiriwa vzr wanakustiri wanaokusaidia kuondoa hilo pepo

Hapo ndio nikajua hamna kitu ni kiki
Nami niliguswa hapo alipovuta kisketi kwenda chini,nilishangaa sana
 
mshana nicheki in box kuna inshu jamaa yangu kakutana nayo nataka kuuliza kwako plz
 
Sikuwahi choka kusoma mada moto moto za Mshana jr ....umenyumbua na mwisho umeshauri kwa staha na weledi wa hali ya juu kuhusu kisa cha Rose Mhando hakika haya afanyayo wengi tunaona kama maigizo kabisaa
 
Ngada? Mnaosema Rose Alikuwa Mlokole Mnajua Sifa Za Ulokole? Yaani Kuimba Injili Ni Ulokole? Walokole Wapo Waulizwe Rose Ni Mlokole Wa Wapi? Ulokole Wake Umetukuka?
 
Yupo katika stress wote wamemkimbia na kama unavyojua mameneja wa kitanzania na wasanii wetu akifanya kazi anamuuzia kila kitu meneja pengine leo hii tunazijua nyimbo nyingi za rose na tunaona kabisa rose jamii bado inamuitaji kwa hizo nyimbo kwanini akate tamaa mapema hivyo unakuta kumbe asilimia 98 ya kazi zake ni haki ya meneja wake rose hana chake kumbuka sakata la mwana mama saida kaloli kuhusu haki miliki zake, hili suala pengine ndio linamtafuna mwanadada rose akijiona anajiona mkubwa anapata mialiko mingi lakini sheria ya mikataba inambana hawezi inabidi awe mpole tu

Wito wangu waziri wa habari utamaduni na michezo akae na mwanasheria mkuu wangalie ni jinsi gani watasaidia wasanii walioingiaga mikataba mibovu maana inawatesa wasanii wengi sana yani ikiwezekana itungwe sheria kazi yoyote ile itakuwa Mali ya meneja kwa mda upi baada ya hapo iyo kazi ni mali ya msanii
Mkuu hapa nimekusoma vzr!
Ni hakika hiki kitu ndiyo kinamtafuna huyu mama. Serikali ipo na nafurahi kaulimbiu yake ya kujielekeza kwa wanyonge....!
 
Sikuwahi choka kusoma mada moto moto za Mshana jr ....umenyumbua na mwisho umeshauri kwa staha na weledi wa hali ya juu kuhusu kisa cha Rose Mhando hakika haya afanyayo wengi tunaona kama maigizo kabisaa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sikuwahi choka kusoma mada moto moto za Mshana jr ....umenyumbua na mwisho umeshauri kwa staha na weledi wa hali ya juu kuhusu kisa cha Rose Mhando hakika haya afanyayo wengi tunaona kama maigizo kabisaa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukiifatilia kwa umakini ile video clip ya maombezi yake,hakika utabaini kwamba ile ilikuwa ni maigizo tena ya kupangwa kabisa. Ukianza pale anapoitwa na Nabii wake,hadi kuanguka kwake ni wazi wazi yale hayakuwa mapepo..!
Lakin ukweli ni kuwa,chanzo cha maigizo hayo ni magumu anayopitia Rose..,basi tu njia anayoitumia kuya-solve huenda ndiyo inaweza iwe ya kumdhalilisha sn km hivyo. Mama anawahitaji washauri wenye hekima zao ili wamrudishe kundini kwa njia sahihi. Tukubaliane eneo moja kwamba,Rose ni msanii wa nyimbo za injili na si mwinjilisti. Hivyo kuanguka dhambini inatokea sawa na wasanii wengine wa dansi or bongofleva....asaidiwe tu kwa njia iliyo sahh arudi kwene tasnia na si kumtupia madongo tu.
 
Back
Top Bottom