Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

Chonde chonde waimba injili, msitamani kuingia siasani. Injili haitaki uchafu wa siasa. Injili iko juu ya siasa. Siasa zina rafu kushindana na washindani. Kuiga wanamuziki wa kidunia waliopenya siasani kwa kutumia miziki yao ni tofauti muimba injili kufanya hivyo. Injili ni utakatifu haitaki kuchanganywa na siasa moja kwa moja. Wanasiasa waache kuwatumia waimba injili kwenye matukio yao ya kisiasa watawaharibu vibaya karama zao.
 
Sehemu moja nilipojua hakuna ukweli ni pale kisket alichovaa kupanda juu huku pepo likiwa limeshapanda akawa anashusha ile sket namanisha anajifunika vizur

Ukiwa na pepo huwi vile, na kilichofanyika unakua huna kumbukumbu nacho kabisa tena kama ni kustiriwa vzr wanakustiri wanaokusaidia kuondoa hilo pepo

Hapo ndio nikajua hamna kitu ni kiki
😀😀😀😀😀
 
Wasalam waleikhum..!

Kidogo tumepumzishwa kwenye zile sinema zetu.... Tumepata msimu mdogo wa mwanadini muimba nyimbo za injili mwanadada na mama wa watoto Rose Muhando.

Hii inaweza kuwa mada ya NNE kumhusu... Japo nyingine zilizotangulia zikimjadili Rose wa sasa kama celeb na kile kinachomtokea...

Kwanza itambulike kuwa hii ni vita ya kiroho, falme za giza dhidi ya falme za nuru, wakuu wa mbingu dhidi ya wakuu wa anga...

Rose ni catalyst tu katika vita kubwa ya kiroho na ya kidunia... Nuru dhidi ya giza... Alikuwa jemadari msimu wa kwanza akapambana vilivyo, akazishinda falme za giza katika maeneo mengi.. Lakini kwakuwa ana mwili wa damu na nyama, alilemewa... Akazidiwa akampa adui nafasi... Sasa anatengenezwa...!

Rose Muhando ni nani?

Kwa wale waliobahatika kusoma habari zake huko nyuma... Aliingia kwenye uimbaji wa nyimbo za injili akitokea kwenye ndoa iliyojaa mateso (kwa mujibu wake) akiwa na karama ya uimbaji na mahitaji ya nyakati kumbeba aliibuka kuwa mmojawapo wa nyimbo za injili mwenye kipaji na mafanikio mengi... Lakini mafanikio yake yalikuwa kwenye hatari kubwa kwakuwa aliyapata kwa kupambana na shetani (kimtazamo)

Kuna wakati tunaweza kusema kwa hakika Rose alikuwa mlokole kamili na nyimbo zake zikiwaokoa na kuwabariki wengi....

Misukosuko ilipoanzia

Zaburi ya 23 kuna mstari unasema... Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti....! Kila mmoja wetu ana mapito yake ... Hata waimbaji wenzake walishapitia anayopitia... Si wa kwanza yeye na hatakuwa wa mwisho... Shida iko hapa, je unapopitia kwenye mapito unasimama upande gani? Wa nuru au giza? Anguko lako ama kusimama tena vitategemea ulikuwa upande gani... I mean upande gani uliupa airtime kubwa....! Ni wazi Rose alipojaribiwa aliingiwa na upofu na kumpa Mungu wake kisogo akaenda kufanya kolabo na upande wa giza... Sasa anasulubiwa.. Msimu huu wa pili anamsaidia adui.. Na huu ndio ushindi uliokuwa unatafutwa na falme za giza

Imekuwaje aibukie Kenya?

Kwanza kiuhalisia Rose ni kweli kabisa anaumwa na hayupo sawa.. Ni kama mwaka sasa tumekuwa hatusikii habari zake nzuri.. Amepitia mapito mengi, amechapwa akachapika.. Anaonekana live ana POP mkononi vidonda na makovu.. Na kwa maneno yake mwenyewe kwa takriban siku 90 alikuwa hajui anatoka wapi anaenda wapi... Amekuwa kama chizi fresh, zinatoka zinarudi... Alifikaje Kenya kwa hali ile? Alipelekwa? Alifikaje kwa yule mtume nabii?
Kisanga kinaanzia hapa!

Dunia ya leo watu hupenda kuyatumia matatizo ya wengine kujinufaisha ama kuwatumia wao wenyewe pia...

Rose Muhando ni jina kubwa Afrika mashariki. Habari zake zikisikika popote ndani ya jumuiya hii si jambo geni

Mtume na nabii kwa kuiona fursa... Anamuahidi kumsaidia Rose kwa masharti hasa la kutaka amuombee mbele ya waumini wake kukiwa na camera zinazochukua video na picha.. Lakini la zaidi anamfundisha cha kuongea..

Nimeangalia kwa makini video ile.. Sijui misa ilianzaje lakini anaonekana mtumishi wa Mungu akimwita Rose aliyechoka na kuanza kumuombea.

Ghafla Rose anaanguka na mapepo yanaaza kuongea kuwa kuna wivu juu ya mafanikio yake, hawataki aimbe, wamechukua magari yake wanataka kumuua nknk... Lakini ni wakati huu mapepo yakiongea Rose ana ufahamu wa kuondoa mkono wa mtumishi mdomoni mwake aweze kuongea vizuri....

Baada ya maombi mafupi mapepo yanatimka na hapo hapo Rose anazinduka na kuanza kuongea yaleyale yaliyokuwa yakiongelewa na mapepo... Halafu anaendelea kuelezea changamoto za familia yake, watoto kukosa ada nk.. Halafu anamalizia kwa kumshukuru Mungu...

Rose, Mungu hadhihakiwi... Mapepo hayatoki kivile na fahamu hazirudi kivile.. Nguvu ya pepo kutoka si ya kitoto (nitaelezea kwenye mada nyingine)

Umetumika vibaya kwenye mapito yako... Angalia wanaokutumia wasikuongoze kwenye anguko kuu
Tunao ijua kweli haitupi shida kuelewa mkanda na maigizo ya fake pastors.
 
NGADA +BONGOMUVI kwanza huyo mchungaji katupia kama papaa wa kikongo
 
Soon nao geshi watakosa thamani acha wawatumikie wanasiasa badala ya taaluma aliyestaafu asingekubali kujidhalilisha kubangua maganda kwa meno.Shetani hana rafiki.
Sijawahi kuona toilet paper ikawa na thamani baada ya matumizi
 
Kubwa zaidi ni pale alipotumia mkono wake kushusha skirt yake isimuache mtupu huku akiwa na jini ... Hahahahahaha
 
Rose alichanganya Mungu Na ccm,ni jukumu La ccm kumbeba sasa
Na hili ndio nilitaka kulisema tokea mwanzoni.
Watu wengi wameharibikiwa Kwa kuchanganya mambo yao na ccm. Ona hata yule wa filamu Wema, baada ya kuukana ukweli na kuiendea ccm amejikuta anarudi kufanya ya ajabu ikiwepo kuonyesha anavyo shughulikiwa mtandaoni
 
.
IMG-20181122-WA0032.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mungu hapendi uvuguvugu...kama umeamua kuwa moto kuwa moto na kama baridi basi baridi...naamini rose anayo nafasi ya kuanza upya kama ataamua kukaa katika roho na kweli,lakini anahitaji msaada sana wa kiroho,kimwili na kiakili ili asimame tena(nani atafanya jukumu hilo zito),.hawa manabii wa uongo na wa show off watazidi kumchimbia kaburi na kumzika hai...
 
Back
Top Bottom