Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Hiyo ni jana huko Arusha walivyokuwa wanajinadi.

Hakika walitisha. Ulikuwa ni mwendo wa ung'eng'e tu.

Ila huyo wa mwisho sijui kwa nini alitumia Kiswahili.

Tundu Lissu hawezi Tenganisha Prison na Lock-up kwa Polisi? maana kasema aliwekwa Prison ya Polisi!
 
CPA
Pole sana kaka hiyo ndiyo field yangu.Huwezi kuwa Accountant kama.huna CPA(T) wengi qanajiita hivyo lakini hawastahili.Kwa uhakika nenda NBAA ukaulize kwanini Accountant ni lazima awe na CPA (T).

Hao.unaowaongelea wote wana Assistant accountant au Accounts assistant.

Kama hujui subiri wenye profession yetu tukueleze.
CPA siyo kitu cha kujivunia labda ungebobea ktk sayansi ya fedha otherwise utaendelea kuwa "karani" hadi unastaafu.
 
Wakili msomi, jaji Msomi, mwanasheria Msomi kwa kimombo wanaita, learned Advocate, Learned Judge, Learned Lawyer, Learned Brother, Learned sister, learned Counsel. Haya maneno hayatumiki kumaanisha kwamba wakili mmoja amesoma sana zaidi ya mwingine. Sababu zipo nyingi sana nitakusaidia chache.

Moja, Sheria ni taaluma iliyojikita kwenye antagonisms hasa mahakamani ambapo mawakili hupingana kwa hoja kila mtu akimtetea mteja wake hivyo maneno yenye kuonesha heshima na kuheshimiana japo tunapingana hutumika Ku sugarcoat tu mfano "Ninapingana na Wakili Msomi katika moja mbili tatu". Hata jaji anaweza kusema " nashindwa kukubaliana na hoja za wakili Msomi" lakini hata wakili asiporidhishwa na hukumu ya jaji akakata rufaa anaweza kueleza mahakama " kwamba Jaji Msomi katika kuamua hivi alikosea" hivyo japo unampinga unacknowledge kwamba amesoma na ana sifa zote.

Mbili, ni kutokana na bushlawyers kwa hiyo wakili au mwanasheria Msomi hutumika kutofautisha na hao ma Bush lawyers.

Tatu, Mwanasheria ni wasomi kwa sababu wanasoma mambo mengi ambayo wahusika wa taaluma hizo wapo. Kwa kuwa kila kesi kutoka kwa kila mtu mwisho wa siku itakuja kuangukia mahakamani kwa wanasheria basi mwanasheria anasoma mambo mengi mfano heath laws na wakati daktari yupo, company laws, partnership, contract laws na wahusika wapo. Tax laws na wahusika watu wa kodi wapo, land laws na wahusika wa ardhi wapo, environmental laws etc

Nne, sheria ni noble professional hivyo kuheshimiana ni muhimu ndiyo maana maneno ya kutukuzana sana utayakuta mahakamani, maneno kama Msomi, Mheshimiwa, Mtukufu hakimu, Mahakama tukufu, Your Lordship, Your Ladyship etc

Tunashukuru sana!
 
Acha uongo mkuu! eti huwezi kuwa accountant kama huna CPA?

Ina maana Accountant Grade II sio accountant? Ina maana mtu mwenye digrii ya accounts sio accountant?

Tofautisha Accountant na Certified Public Accountant!
 
Tunaitwa Professional accountant au Professional Auditor.Not learned kaka
Kuna profession mbili tu dunia nzima Mkuu.
a)LEGAL PROFESSION na
b)UDAKTARI

Course zingine hizo hazina sifa ya PROFESSION hata kidogo.
 
CPA

CPA siyo kitu cha kujivunia labda ungebobea ktk sayansi ya fedha otherwise utaendelea kuwa "karani" hadi unastaafu.

Pole kaka hata ukiwa na PhD kama huna CPA professionally you are nothing.

Kaka huo ndiyo uhasibu mwisho wa siku hata ukiwa na PhD kazi yako ni ukarani tu.
 
Acha uongo mkuu! eti huwezi kuwa accountant kama huna CPA?

Ina maana Accountant Grade II sio accountant? Ina maana mtu mwenye digrii ya accounts sio accountant?

Tofautisha Accountant na Certified Public Accountant!

Sasa ninakuruhusu nenda kwenye toviti ya NBAA akirudi ndipo tutaelewana.

Unayeongea naye ni Muhasibu qualified Accountant ninaelewa ninachokueleza.Otherwise hakuna haja ya kuisotea CPA

CPA(T) Maana yake Certified Public Accountant of Tanzania certificate hii ndiyo inayokufanya Muhasibu uwe Muhasibu.Anayejiita Muhasibu akawa hana hii certificate ni sawa na Lawyer asiye kuwa na Cheti cha kupractice/advocate.

Pole ndiyo wenyewe tunavyoelewana.Ukimkuta anayejiita Accountant halafu hana CPA anajifurahisha tu lakini kwetu bado hajaqualify kuwa Muhasibu.
 
Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...

Sio mbaya... ila kwa usomi huu ambao bosi wao anapiga marufuku ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa... Hapana asee...

Kwa wakristo kwa mfano ndoa inakuwa ndoa halali baada ya kufungishwa na padre/mchungaji. Suala la kupewa vyeti (vya serikali) hufanyika baada ya ndoa kufungwa... mwisho kabisa wa ibada. Hii inamaanisha cheti hutolekwa kwa hitaji la serikali lakini ndoa kama ndoa kiimani haihitaji cheti.

Ni heri kusomea Kemia ukajua kuitafsiri sheria kuliko kuwa mwanasheria afu ukashindwa kuijua sheria.
Mwakyembe ni Boss wa wanasheria wa wapi? Hata kama alikurupuka swala linabaki pale pale Mwakyembe kabobea kwenye sheria na hata kina Lissu wenyewe ni wanafunzi wake. Sasa hilo la kemia na sheria kufanya nini sijui zinadhihirisha tu kiwanga cha upumbavu ulichonacho. Kwani alichokifanya Mwakyembe kwa kutoa lile tamko alikuwa anatafsiri sheria ipi na unatumia kigezo kipi kusema fulani hawezi kutafsiri sheria wakati wewe hujui sheria na sio mwanasheria? Jifunze kufikiri, zingine ni taaluma hii sio bongo movie ndio maana hatuchaguliwi viongozi.
 
Tena hapa nisaidieni; manake utasikia "Wakili Msomi...!" Huwa wana maana gani hasa?! Hivi kuna mtu asiye msomi anayeweza kuwa wakili?! Sijawahi kusikia Mhasibu Msomi; ingawaje hawa ingeswihi manake kuna wengine wameishia Kidato cha IV halafu wanajiita Wahasibu badala ya kujiita makeshia!!

Mkuu Petro E. Mselewa, hebu nisaidie hapo juu!! Ni wakili wa aina gani ambae anakuwa sio msomi; au ni swaga zenu tu??!!!
Sio tu wakili, members wote wa legal proffession huwa adressed kama wasomi (mahakimu, majaji, wanasheria wa serikali) i suala la kihistoria zaidi toka huko tuliporithi hii mifumo yetu ya sheria.
 
Wakili msomi, jaji Msomi, mwanasheria Msomi kwa kimombo wanaita, learned Advocate, Learned Judge, Learned Lawyer, Learned Brother, Learned sister, learned Counsel. Haya maneno hayatumiki kumaanisha kwamba wakili mmoja amesoma sana zaidi ya mwingine. Sababu zipo nyingi sana nitakusaidia chache.

Moja, Sheria ni taaluma iliyojikita kwenye antagonisms hasa mahakamani ambapo mawakili hupingana kwa hoja kila mtu akimtetea mteja wake hivyo maneno yenye kuonesha heshima na kuheshimiana japo tunapingana hutumika Ku sugarcoat tu mfano "Ninapingana na Wakili Msomi katika moja mbili tatu". Hata jaji anaweza kusema " nashindwa kukubaliana na hoja za wakili Msomi" lakini hata wakili asiporidhishwa na hukumu ya jaji akakata rufaa anaweza kueleza mahakama " kwamba Jaji Msomi katika kuamua hivi alikosea" hivyo japo unampinga unacknowledge kwamba amesoma na ana sifa zote.

Mbili, ni kutokana na bushlawyers kwa hiyo wakili au mwanasheria Msomi hutumika kutofautisha na hao ma Bush lawyers.

Tatu, Mwanasheria ni wasomi kwa sababu wanasoma mambo mengi ambayo wahusika wa taaluma hizo wapo. Kwa kuwa kila kesi kutoka kwa kila mtu mwisho wa siku itakuja kuangukia mahakamani kwa wanasheria basi mwanasheria anasoma mambo mengi mfano heath laws na wakati daktari yupo, company laws, partnership, contract laws na wahusika wapo. Tax laws na wahusika watu wa kodi wapo, land laws na wahusika wa ardhi wapo, environmental laws etc

Nne, sheria ni noble professional hivyo kuheshimiana ni muhimu ndiyo maana maneno ya kutukuzana sana utayakuta mahakamani, maneno kama Msomi, Mheshimiwa, Mtukufu hakimu, Mahakama tukufu, Your Lordship, Your Ladyship etc
Good analysis. Big Up
 
Kuna profession mbili tu dunia nzima Mkuu.
a)LEGAL PROFESSION na
b)UDAKTARI

Course zingine hizo hazina sifa ya PROFESSION hata kidogo.

Accountancy inaitwa Rare Profession.Pole kama ilikuwa hujui
 
Ukisoma IT halafu ikawa ulichosoma chuo ndo hicho hicho lazima uwe nyuma ya wakati tena pengine kuliko huyo wakili!

But all in all, hapa ni suala la wakili... ukiniambia kuna wakili msomi ina maana kuna wakili asiye msomi vile vile!! Hapa ndipo ningependa kufahamu huyo wakili asiye msomi anakuaje?!

Hata mmi mkuu hua nalichukia sana hilo neno wakili msomi
 
Back
Top Bottom