Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Ndio nimetofautiana nao lakini naamini kwamba nipo sahihi ndugu yangu. Binafsi nipo karibu sana na wanasheria na sijawahi sikia bado hakimu akiitwa msomi.
Wanaitwa sana tu Mkuu.

Halafu kuwa karibu na wanasheria siyo hoja ya kuegemea sana kuwa mahakimu haitwi wasomi.
 
Noma Sana Tundu Lissu naye Kiingereza chake kamzidi Magufuli kwa 1,000,000,000,000,000,000 Kilometres. Kiingereza chake kipo katika Kiwango cha Lami.
Ila uyu Lisu alizidiwa kiingereza na Albert Msando, Lisu akaomba waongee kiswahili, kesi ya Zitto
 
Ila uyu Lisu alizidiwa kiingereza na Albert Msando, Lisu akaomba waongee kiswahili, kesi ya Zitto
Bahati mbaya Sheria zetu bado zinatumia lugha ya Kiingereza. Hivyo inafikirika kwamba anayejua Kiingereza ndiye anayejua Sheria. Mara nyingine ni kinyume chake.
Masha nafikiri siyo lugha tu ya Kiingereza inampa shida lakini hata kuzitafsiri Sheria zenyewe ni tatizo.
 
Nyani Ngabu, uko serious au umeteleza? Kuna shida gani kusema 'I have decided to make a decision?' Kwa sarufi ya kingereza hakuna shida kabisa. 'have decided is a verb and decision is a noun', as you can make the construction 'I have decided to make a call...' Unless you prove that this construction is grammatically wrong, the above one is right.
 
Back
Top Bottom