Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Haya bhana najua utakuwa umesoma hiyo course ndiyo maana unajitahidi kuitetea

Yaani ni Muhasibu kaka yangu with CPA (T) bila hiyo duh sitambuliki.Nimeisotea kweli kweli ni kama wanasheria wanavuosotea ule muhuri wa kuwa advocate.
 
Pole na wewe Dada/ Kaka!

Naomba unielewe kuwa PROFESSION zipo mbili tu duniani kote.

Hizo course zingine siyo PROFESSION per se.

Nenda UK bila kuwa na ACCA final stage wenyewe wanaiita professional stage kama utatambulika wewe ni.Muhasibu. Watakuita Either Assistant Accountant au Accounts assistants.

Na kwa sasa CPA (T) ni equivalent kwa ACCA professional stage.

Ni profession kama hizo unazoziona.
 
Ni wasomi Mkuu ila huyo Mwakyembe alikuwa anajifanya naye ni msomi miaka yote hii, ila sasa Watanzania tumemgundua rasmi kumbe naye ndiye wale wale akina Bashite wa Kolomije maarufu kwa kuforge vyeti. Sijui kwanini malaika mkuu hakumtumbua.

Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...

Sio mbaya... ila kwa usomi huu ambao bosi wao anapiga marufuku ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa... Hapana asee...

Kwa wakristo kwa mfano ndoa inakuwa ndoa halali baada ya kufungishwa na padre/mchungaji. Suala la kupewa vyeti (vya serikali) hufanyika baada ya ndoa kufungwa... mwisho kabisa wa ibada. Hii inamaanisha cheti hutolekwa kwa hitaji la serikali lakini ndoa kama ndoa kiimani haihitaji cheti.

Ni heri kusomea Kemia ukajua kuitafsiri sheria kuliko kuwa mwanasheria afu ukashindwa kuijua sheria.
 
heee sio kwa vizungu hivyo, mpaka nimetamani wengine huku lugha mgongano. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msomi mwingine
Looks OK, shida iko wapi? Huyu ni Rais, usisahau.

Kusikia akitoa "conglatyulesheni" lakini ukaelewa ni muhimu zaidi kwako na taasisi yako (na pia watu watashangilia wengi zaidi loud zaidi) kuliko Mr. Lema akisema kwa ufasaha "Mr President, "we detest you, you are dictator, and you will ve dead duck in 6 months".
 
Labda tuanze kwa swali hili, wakili ni nani? Nielewavyo mimi wakili ni mtu anayemuwakilisha mwingine katika jambo fulani. Lakini pia wakili ni mtetezi wa jambo fulani. Kwa kusema hivyo wapo mawakili wa aina mbalbali kama vile wakili anayetetea mazingira (environmental advocate), au wapo wanaotetea haki za wanyama. Hao sio lazima wawe wanasheria. Sasa mwanasheria ambaye ni wakili anatofautishwa na hizo aina zingine kwa kuitwa wakili msomi, maana yake ni kumtambulisha kwamba huyu ni wakili katika masuala ya sheria.
Naona wewe umetofautiana na wengine karibu wote manake wengi wao kama sio wote; wamesimamia hapa:
Sio tu wakili, members wote wa legal proffession huwa adressed kama wasomi (mahakimu, majaji, wanasheria wa serikali) i suala la kihistoria zaidi toka huko tuliporithi hii mifumo yetu ya sheria.
 
Mwakyembe anasumbuliwa na tumbo na si kingine!!! Huyu mzee kitambo nilikuwa namkubali sana kumbe alikuwa bado hajapata fursa ya kuonesha ujinga wake!!!
Umeonaeeee sasa tunashuhudia manyanga yake
 
Mwakyembe ni Boss wa wanasheria wa wapi? Hata kama alikurupuka swala linabaki pale pale Mwakyembe kabobea kwenye sheria na hata kina Lissu wenyewe ni wanafunzi wake. Sasa hilo la kemia na sheria kufanya nini sijui zinadhihirisha tu kiwanga cha upumbavu ulichonacho. Kwani alichokifanya Mwakyembe kwa kutoa lile tamko alikuwa anatafsiri sheria ipi na unatumia kigezo kipi kusema fulani hawezi kutafsiri sheria wakati wewe hujui sheria na sio mwanasheria? Jifunze kufikiri, zingine ni taaluma hii sio bongo movie ndio maana hatuchaguliwi viongozi.
Umemaliza au bado unaendelea??
 
Noma Sana Tundu Lissu naye Kiingereza chake kamzidi Magufuli kwa 1,000,000,000,000,000,000 Kilometres. Kiingereza chake kipo katika Kiwango cha Lami.
FB_IMG_1489585529175.jpg
 
Naona wewe umetofautiana na wengine karibu wote manake wengi wao kama sio wote; wamesimamia hapa:
Ndio nimetofautiana nao lakini naamini kwamba nipo sahihi ndugu yangu. Binafsi nipo karibu sana na wanasheria na sijawahi sikia bado hakimu akiitwa msomi.
 
Like i am going to go through the documents before me.
(Going to go)
Kingereza cha kisheria kumbukeni ni tofauti kabisa na kingereza cha shule zote na hata wazungu wenyewe labda Mzungu mqanasheria. Kingereza cha Masha ni full legalese mtafikiri amekosea lkn kwetu sisi mawakili wasomi yuko sahihi, so km ww si mwanasheria don't say anything mwanasheria akizungumza kwa kingereza chake.
 
Hapo anayejua kizungu ni MASHA tuu wengine ni vya kuunga unga na super glue hakuna nani wala nani . utasikia eeeh!! eeeh!!! ofcourse!! na hapo anasoma kwenye karatasi kama alikuwa anatoa kichwani si ingekuwa balaa!!!!
 
Masha mkali eeh😀

Ila umesikia alivyochapia?

Kasema "I have decided to make a decision".

How can you decide to make a decision?

Is it possible?
Nahisi wewe ndo kingereza chako kinamikunjo
Masha mkali eeh😀

Ila umesikia alivyochapia?

Kasema "I have decided to make a decision".

How can you decide to make a decision?

Is it possible?
 
Back
Top Bottom