Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
An
Anaweza akaishia form.four akawa Muhasibu kama tu umemaliza CPA(T) na kufaulu.Unaweza kuwa cashier kama.tu umefaulu Atech 1&2.
Ikimaliza first degree yako au kamasters bado hujaqualify kuitwa Muhasibu au mkaguI utaitwa msaidizi tu.
Pole kama hujui.
Tena hapa nisaidieni; manake utasikia "Wakili Msomi...!" Huwa wana maana gani hasa?! Hivi kuna mtu asiye msomi anayeweza kuwa wakili?! Sijawahi kusikia Mhasibu Msomi; ingawaje hawa ingeswihi manake kuna wengine wameishia Kidato cha IV halafu wanajiita Wahasibu badala ya kujiita makeshia!!
Mkuu Petro E. Mselewa, hebu nisaidie hapo juu!! Ni wakili wa aina gani ambae anakuwa sio msomi; au ni swaga zenu tu??!!!