Makaka wasomi na dada msomi walivyojinadi jana huko Arusha

Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...

Sio mbaya... ila kwa usomi huu ambao bosi wao anapiga marufuku ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa... Hapana asee...

Kwa wakristo kwa mfano ndoa inakuwa ndoa halali baada ya kufungishwa na padre/mchungaji. Suala la kupewa vyeti (vya serikali) hufanyika baada ya ndoa kufungwa... mwisho kabisa wa ibada. Hii inamaanisha cheti hutolekwa kwa hitaji la serikali lakini ndoa kama ndoa kiimani haihitaji cheti.

Ni heri kusomea Kemia ukajua kuitafsiri sheria kuliko kuwa mwanasheria afu ukashindwa kuijua sheria.
 
Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...

Sio mbaya... ila kwa usomi huu ambao bosi wao anapiga marufuku ndoa bila ya cheti cha ndoa... Hapana asee...

Kwa wakristo kwa mfano ndoa inakuwa ndoa halali baada ya kufungishwa na padre/mchungaji. Suala la kupewa vyeti (vya serikali) hufanyika baada ya ndoa kufungwa... mwisho kabisa wa ibada. Hii inamaanisha cheti hutolekwa kwa hitaji la serikali lakini ndoa kama ndoa kiimani haihitaji cheti.

Ni heri kusomea Kemia ukajua kuitafsiri sheria kuliko kuwa mwanasheria afu ukashindwa kuijua sheria.

Komredi...nani mkali wa kimombo hapo?

Halafu huyo mshikaji wa mwisho dizaini hakipandi...

:D:D:D
 
Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...
Tena hapa nisaidieni; manake utasikia "Wakili Msomi...!" Huwa wana maana gani hasa?! Hivi kuna mtu asiye msomi anayeweza kuwa wakili?! Sijawahi kusikia Mhasibu Msomi; ingawaje hawa ingeswihi manake kuna wengine wameishia Kidato cha IV halafu wanajiita Wahasibu badala ya kujiita makeshia!!

Mkuu Petro E. Mselewa, hebu nisaidie hapo juu!! Ni wakili wa aina gani ambae anakuwa sio msomi; au ni swaga zenu tu??!!!
 
Wakili msomi inatokana na wao kuwa mara kwa mara lazima wapitie vitabu ili kujua sheria mbalimbali yaani lazima wasome kila wakati lakini kozi zingne ukiisha maliza chuo hakuna tena inshu ya kupitia pitia sijui nn
 
Ukisoma IT halafu ikawa ulichosoma chuo ndo hicho hicho lazima uwe nyuma ya wakati tena pengine kuliko huyo wakili!

But all in all, hapa ni suala la wakili... ukiniambia kuna wakili msomi ina maana kuna wakili asiye msomi vile vile!! Hapa ndipo ningependa kufahamu huyo wakili asiye msomi anakuaje?!
 
Masha mkali eeh:D

Ila umesikia alivyochapia?

Kasema "I have decided to make a decision".

How can you decide to make a decision?

Is it possible?
Just ''I have made decision'' nyinyi mlioko US mna practice sana Bongo hapa watu wakisha graduate Kiingereza nacho hupotea wajanja huji update British Council pia tafuta marafiki wazungu wabongo ukiongea Kiingereza wanasema unajidai.
 
Masha mkali eeh:D

Ila umesikia alivyochapia?

Kasema "I have decided to make a decision".

How can you decide to make a decision?

Is it possible?

I think he should have said....I have decided to support.....nakuendelea

Jamaa nasikia kakaa marekani ila direct translation bado inamsumbua.
 
I think he should have said....I have decided to support.....nakuendelea

Jamaa nasikia kakaa marekani ila direct translation bado inamsumbua.

Ngoja nimwite mshikaji wangu Al-Watan aje hapa maana braza wake aliwahi kumchana wakati fulani hivi pia.
 
Tena hapa nisaidieni; manake utasikia "Wakili Msomi...!" Huwa wana maana gani hasa?! Hivi kuna mtu asiye msomi anayeweza kuwa wakili?! Sijawahi kusikia Mhasibu Msomi; ingawaje hawa ingeswihi manake kuna wengine wameishia Kidato cha IV halafu wanajiita Wahasibu badala ya kujiita makeshia!!

Mkuu Petro E. Mselewa, hebu nisaidie hapo juu!! Ni wakili wa aina gani ambae anakuwa sio msomi; au ni swaga zenu tu??!!!
Wakili msomi, jaji Msomi, mwanasheria Msomi kwa kimombo wanaita, learned Advocate, Learned Judge, Learned Lawyer, Learned Brother, Learned sister, learned Counsel. Haya maneno hayatumiki kumaanisha kwamba wakili mmoja amesoma sana zaidi ya mwingine. Sababu zipo nyingi sana nitakusaidia chache.

Moja, Sheria ni taaluma iliyojikita kwenye antagonisms hasa mahakamani ambapo mawakili hupingana kwa hoja kila mtu akimtetea mteja wake hivyo maneno yenye kuonesha heshima na kuheshimiana japo tunapingana hutumika Ku sugarcoat tu mfano "Ninapingana na Wakili Msomi katika moja mbili tatu". Hata jaji anaweza kusema " nashindwa kukubaliana na hoja za wakili Msomi" lakini hata wakili asiporidhishwa na hukumu ya jaji akakata rufaa anaweza kueleza mahakama " kwamba Jaji Msomi katika kuamua hivi alikosea" hivyo japo unampinga unacknowledge kwamba amesoma na ana sifa zote.

Mbili, ni kutokana na bushlawyers kwa hiyo wakili au mwanasheria Msomi hutumika kutofautisha na hao ma Bush lawyers.

Tatu, Mwanasheria ni wasomi kwa sababu wanasoma mambo mengi ambayo wahusika wa taaluma hizo wapo. Kwa kuwa kila kesi kutoka kwa kila mtu mwisho wa siku itakuja kuangukia mahakamani kwa wanasheria basi mwanasheria anasoma mambo mengi mfano heath laws na wakati daktari yupo, company laws, partnership, contract laws na wahusika wapo. Tax laws na wahusika watu wa kodi wapo, land laws na wahusika wa ardhi wapo, environmental laws etc

Nne, sheria ni noble professional hivyo kuheshimiana ni muhimu ndiyo maana maneno ya kutukuzana sana utayakuta mahakamani, maneno kama Msomi, Mheshimiwa, Mtukufu hakimu, Mahakama tukufu, Your Lordship, Your Ladyship etc
 
Wakili msomi inatokana na wao kuwa mara kwa mara lazima wapitie vitabu ili kujua sheria mbalimbali yaani lazima wasome kila wakati lakini kozi zingne ukiisha maliza chuo hakuna tena inshu ya kupitia pitia sijui nn
Ni kweli kila bunge likikaa lazima libadilishe baadhi ya sheria na kuja na sheria mpya unaweza ukafundishwa chuoni kwa sheria hii kesho unakuta ishafutwa imeletwa nyingine.
 
Back
Top Bottom