Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Makabila mengine
wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita,
sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako
unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

tabu, siyawezi, mawazo, kidawa, tanu, januari, tunza, shida, siwema, juma kiroboto.
 
sungura
kadeghe au kadege
farasi
chepe
ubaya
siamini
 
Kwetu kuna kina Nokia,
Blackberry,
iphone 4s,
Tecno original,
siemens ya kidole,
Sony Ericsson,
Huawei,
HTC,

Juzijuzi hapa ndo kazaliwa Samsung Galaxy 5
 
kuna jamaa alimzaa mwanawe akamjita uume
 
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nafikiri makabila mengi yana majina ya namna hii. Waulize wenye makabila haya maana ya majina haya:
Wanyakyusa: Ulimboka, Mwambulukutu, Mwaisemba, Mwakibete, Mwakingwe, Mwaikambo, Mwasajoni, Mwakyembe...
Wahaya: Ndibalema, Tinaabo, Timbilimu, Tinkamwesigile, Tindiyebwa(?), Rugalema, Rwiyimamu, Buberwa, Kakuru/Katto, Mulokozi, Rwebangira, Ntare...
Wasukuma: Iselamagazi, Bujiku, Masalakulangwa, Shigela, Kashindye, Makoye, Mihayo, Isaka, Kumalija, Mpanduji, Mpuji...
 
wakerewe
Tichamanyirwe,
Lukanazya
Tilusubya,
Nsagamambi,
Bandiho,
Kapipi,
Katebhalila,
Lwitakubhi,
Kapirigi,
 
chamdimu,kiasi yamboga, furaha, cheka, mateso, masumbuko, kaa nao, sikitu, siwawezi, siwema , si baya, ashibaye, mlanae, nguo gani, mumewangu, cheupe dawa, kidawa,chausiku, tabia, six bert, mwanamakombo.
 
Pili, kisima, tatu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tayo, lusinde, mandomi, bana, batilda, nchimbi, nchemba, kilango,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom