Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Hashpower7113

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,144
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mapembe, shing'weng'we,, kwetu kuna hadi mtu anaitwa headphone.
 
Njoo kwetu kuna mtoto anaitwa kokubatterydown rweyongeza
 
Mkejina, moshi, mugisha zito kabwe kambangwa
 
Mshamba,kilo, mwamtoro, mtumwa, mtupeni, dongo, dunia, fupa la mbwa, mke mimi, mwabaya, majivuno, sina

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwetu kuna majina km kashfa, Mlango, dirisha, ufunguo, kaganda,
 
kabwela,siawezi,zaitune,zabibu -sambaa moja
jangala,ndundu mpandanga,luposmoro,shekipui
mahangaiko,taabu,kibuyu tawiree
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom