Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Kuna mmoja nilisoma naye alikuwa anaitwa "Nimfanyeje"
 
Ndo majina ya kiafrika banaaaaaa mwacha mila ni mtumwa na aachae asili si jasiri
 
Kakake kabla ya komunio alikuwa anaitwa Titini...
 
Upondo, kimavi, ukuni, baya, ubaya, mapunda, n.k. Hiyo ndio asili yetu. Hebu fananisha na haya: woodgate, crouch, tanya - tafsiri zake zitakustua!
 
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kiwenini, Kufakunoga,Siwajibu, Siwema, n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom