Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

Kinanasi,mahaba,bolingo,mwanang'ombe, mwanshamba,boboli,kibiboni,kibibi,anachonga,makuberi,makrosi,isomakwaru samangwangwa kruu, mtindi, akili, mwanamvua,makole, dongo,mwalimu barua, haya yooote nimeyakuta tanga wilaya ya mkinga
 
kakirungu,kamkuki,mwalu,mamaya,chigo,tusagire,mlokozi,mzungu,tindo ,mlona,mlonda,njuru,masms.nk
 
Huko Pwani nimesoma na wasichana (sasa akinamama) wawili,mmoja Dharau sur name yake Elimu hivyo jina kamili Dharau Elimu,mwingine anaitwa Siwengine Surname Walewale,yaani Siwengine Walewale!
 
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mengine,siwapendi,mbologani,ndusyepo,kajenje,kasyagata,mfualamagohalupembe lwa senga ,segeleti,mwakifwamba
 
nimesoma ihungo High school BUKOBA na jamaa anaitwa SIJAONA KARANGA na mwingine anaitwa **** MBUZI wote ni wanaume jaman
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
Wema, Sato, Dona, Sembe, Mwanamkasi, Mwanamvua, Mwanamwema, Simba, Sumuni, Swaumu, Hondohondo, Kifaruhande, Nganenepa, Jumanne, Bahati, Zuzu, Mpangala, Katembo, Mtumwa na Sensa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom