Usilee watoto kizungu kama kuku wa kisasa utakuja juta

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

Senior Member
Feb 1, 2023
101
241
Malezi ya siku hizi ya ovyo kabisa eti unakuta wazazi wanawalea watoto wao kama kuku wa kisasa hasa hawa wa kiume yani mtoto mpaka anakua mtu mzima hajui shida yani anakua yupo slow slow yani yupo taratibu balaa yani kumtofautisha na mwanamke huwezi.

Eti Unakuta umeenda kwenye nyumba mtoto junior analia ili amkate mgeni na kisu Afu mama yake anakuambia usikwepe ukikwepa atalia.

Kuna jirani yangu yani wale watoto ni kuku wa kisasa kabisa yani hata siku wakitoka nje wanakuwa wanashangaa shangaa kuna siku nusu wagongwe na gari bira Kupigiwa kelele ingeleta shida yani watoto wamezoea kukaa ndani miaka yote. Yani maisha ya kishua yanawaharibu sana watoto.

Unakuta vizazi vipumbavu eti vipo sebuleni mama kavaa kinguo cha ndani Kifupi nae baba kavaa kiboksa Kifupi ukiuliza ni uzungu Afu utegemee Familia kama hiyo watoto wake watakaza.

Ukiwa baba ndio nguzo ya familia hata kama una hela zako lakini watoto wako jifunze kuwalea kikamanda Wewe watoto unawalea kama kuku bloiler Afu Uje Hapa jf kupinga ushoga unajua mambo mengine yanatokana na wazazi wasio jielewa

Eti unakuta mtu na mke wake wanafamilia na watoto mda wote kuitana sweet Mbele ya watoto wao yani utazani mitoto Afu utegemee hiyo Familia iwe imekaza yani mda wote wanaigiza uzungu.

NAMSHUKULU BABA YANGU ALIKUWA MKALI NDIO MANA NIMEKUWA BABA BORA LEO
JamiiForums2114108429.jpg

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Malezi ya siku hizi ya ovyo kabisa eti unakuta wazazi wanawalea watoto wao kama kuku wa kisasa hasa hawa wa kiume yani mtoto mpaka anakua mtu mzima hajui shida yani anakua yupo slow slow yani yupo taratibu balaa yani kumtofautisha na mwanamke huwezi.

Eti Unakuta umeenda kwenye nyumba mtoto junior analia ili amkate mgeni na kisu Afu mama yake anamuambia usikwepe ukikwepa atalia.

Kuna jirani yangu yani wale watoto ni kuku wa kisasa kabisa yani hata siku wakitoka nje wanakuwa wanashangaa shangaa kuna siku nusu wagongwe na gari bira Kupigiwa kelele ingeleta shida yani watoto wamezoea kukaa ndani miaka yote. Yani maisha ya kishua yanawaharibu sana watoto.

Unakuta vizazi vipumbavu eti vipo sebuleni mama kavaa kinguo cha ndani Kifupi nae baba kavaa kiboksa Kifupi ukiuliza ni uzungu Afu utegemee Familia kama hiyo watoto wake watakaza.

Ukiwa baba ndio nguzo ya familia hata kama una hela zako lakini watoto wako jifunze kuwalea kikamanda Wewe watoto unawalea kama kuku bloiler Afu Uje Hapa jf kupinga ushoga unajua mambo mengine yanatokana na wazazi wasio jielewa

Eti unakuta mtu na mke wake wanafamilia na watoto mda wote kuitana sweet Mbele ya watoto wao yani utazani mitoto Afu utegemee hiyo Familia iwe imekaza yani mda wote wanaigiza uzungu.

NAMSHUKULU BABA YANGU ALIKUWA MKALI NDIO MANA NIMEKUWA BABA BORA LEO View attachment 2615814

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hapo analilia kumkata mtu na kisu? 😅🙌. Yeye kakitoa wapi na umri huo au katumwa?
 
Mbona huyo Jr anabonge la sime so Kama ana kisu kikali unabidi kumnyanganya ili asije akaleta athari hasi kwake na kwa watu ndani
 
Watakuja wangese hapa watakuambia "tafuta pesa" acha makasiriko.
Lakini umeandika ukweli ulio wazi(naked)
 
Malezi ya siku hizi ya ovyo kabisa eti unakuta wazazi wanawalea watoto wao kama kuku wa kisasa hasa hawa wa kiume yani mtoto mpaka anakua mtu mzima hajui shida yani anakua yupo slow slow yani yupo taratibu balaa yani kumtofautisha na mwanamke huwezi.

Eti Unakuta umeenda kwenye nyumba mtoto junior analia ili amkate mgeni na kisu Afu mama yake anakuambia usikwepe ukikwepa atalia.

Kuna jirani yangu yani wale watoto ni kuku wa kisasa kabisa yani hata siku wakitoka nje wanakuwa wanashangaa shangaa kuna siku nusu wagongwe na gari bira Kupigiwa kelele ingeleta shida yani watoto wamezoea kukaa ndani miaka yote. Yani maisha ya kishua yanawaharibu sana watoto.

Unakuta vizazi vipumbavu eti vipo sebuleni mama kavaa kinguo cha ndani Kifupi nae baba kavaa kiboksa Kifupi ukiuliza ni uzungu Afu utegemee Familia kama hiyo watoto wake watakaza.

Ukiwa baba ndio nguzo ya familia hata kama una hela zako lakini watoto wako jifunze kuwalea kikamanda Wewe watoto unawalea kama kuku bloiler Afu Uje Hapa jf kupinga ushoga unajua mambo mengine yanatokana na wazazi wasio jielewa

Eti unakuta mtu na mke wake wanafamilia na watoto mda wote kuitana sweet Mbele ya watoto wao yani utazani mitoto Afu utegemee hiyo Familia iwe imekaza yani mda wote wanaigiza uzungu.

NAMSHUKULU BABA YANGU ALIKUWA MKALI NDIO MANA NIMEKUWA BABA BORA LEO View attachment 2615814

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Hayo ya kumkata mgeni na kisu na sijui kujiliza liza naunga mkono hoja.
Ila kama mpunga upo hakuna haja ya kuwapitisha watoto kwenye shida. Kuna watoto toka wanazaliwa hawajui shida wala hawajahi kupanda magari ya public hadi wanakuwa watu wazima na bado wanatoboa.
Nina aunt yangu alimuasili mtoto akiwa mdogo sana miaka sijui 2 sijui 3, yule mtoto sasa yuko kidato cha sita hajawahi panda daladala wala hajui shida za kawaida kawaida. Bado ni shareholder wa kampuni ya mama yake ya real estate na kampuni ya ujenzi plus ana maviwanja zaidi ya 20 na nyumba utitiri, elimu bora na mama yake ana maconnection kibao. Sidhani kama huyo mtoto anahitaji apitishwe kwenye shida ndio atoboe yaani pale naona ashatoboa tu.
Hata mimi nikiwa na ukwasi mrefu sina haja ya kuwaitisha watoto kwenye shida. Ila malezi ya junior siyataki lazima sheria na heshima iwepo.
 
Mimi nikienda ugenini vitoto vya hivo huwa navifinya kimya kimya, ila kiukweli mimi sio mpenz wa watoto kabisa yaan hata wadogo zangu wana zaliwa mother alikua ananichezesha sana stick kwa kutojali watoto
 
Back
Top Bottom