Makabila ambayo bora uwe single

Hiyo emanje umeandika kama matamshi ya kifaransa! Mbaga kuoa labda miaka 10 ijayo alishasema wanawake wote ni malaya, kila mtu kwake anajiuza na bao la mkono limeshamuathiri mpaka ubongo!
Ila ishu ya kuoa malaya ni unkwepekabo.

Either tuoe single mother au Malaya 😭
 
Jamii za kichaga na wapare ambao wanaendekeza Ushirikina ni kwa zile koo ambazo chimbuko lao walimuacha elimu akaenda zake.
 
Mbali na kwamba me ni mchaga OG,
Nimezaliwa same na kusoma primary pale same, hawa jamaa kuhusu uchawi hawajasingiziwa
Hawa jamaa hapa chini wote ni wapare watakuja kujazia

Mbaga Jr
Vishu Mtata
Extrovert
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Jamii za kichaga na wapare ambao wanaendekeza Ushirikina ni kwa zile koo ambazo chimbuko lao walimuacha elimu akaenda zake.

Jamii za wapare waliopiga shule vizuri huwezi kuta wanawaza upuuzi wa uchawi na ushirikina.
 
Wewe kwenu ni wapi?
 
Ili kuonyesha sisi wapare ni wachawi very good na hujakosea kutuweka Namba moja hapo.

Naomba picha ya kiganja chako cha mkono wa kushoto, then nipe siku saba, nyapu naiweka kwenye paji la uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…