Makabila ambayo bora uwe single

huna Akili
 
Mbali na kwamba me ni mchaga OG,
Nimezaliwa same na kusoma primary pale same, hawa jamaa kuhusu uchawi hawajasingiziwa
Hawa jamaa hapa chini wote ni wapare watakuja kujazia

Mbaga Jr
Vishu Mtata
Extrovert
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli

Wapare hawawezi Ingia top 10 ya jamii zenye ushirikina na uchawi.

Hao uliowataja hapo wote wana ndoa ya mke mmoja. Tena sio chini ya miaka 10.
Na familia zinafuraha
 
Wapare na uchawi hamna mfano mpare na roho mbaya ni damu damu Half american

Embu taja indicators za huo uchawi uliopo upareni ili watu wajue.

1. Je kuna waganga wengi?
Uliwahi kusikia au kuona tangazo linasema mganga kutoka Upareni, Same, mwanga, au milimani ya pare ?

2. Matukio ya Mauaji ya Albino, vikongwe, kuchunwa ngozi, n.k. uliwahi yasikia huko upareni hata siku moja kwenye tangazo la radio?

3. Uliwahi sikia dawa kama limbwata au nyingine za kishirikina kutoka upareni? Kama ipo nitajie.

Kwa sisi tuliokulia Upareni huo uchawi uliokuwepo kule kwa sehemu kubwa ni wawageni walioletwa na mkonge(katani), makabila kama Wasukuma, Warundi, Wanyiramba, na jamii za kutoka Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ