Makabila ambayo bora uwe single

Ninavyojua mimi wanawake wote wako hivyo. Kama umeamua kuwa na mke dada zako inabidi wakatafute kazi
 
Jf usipokuta mchaga anasakamwa, sasa napo wamegeukiร  kwa wasukuma hatare sana.......
 
Sijui kuhusu uchawi wa wachaga ! Ila najua mijamaa kwenye pesa hawataki mchezo hata magendo wanapiga! Halafu ukimuona kama hana kitu na RAV4 yake old model, kumbe benki kibunda kipo
 
Oyaa mbona mnantisha, kwahyo nsiende shinyanga? Japo ni church girl wanangu๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ