Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Majina ambayo yanatajwa ni pamoja na:

  • Dewji (Mo'hd Enterprise) mbunge huyu,
  • Yusuf Manji,
  • Mrema (mmliki wa Ngurdoto lodge na Impalla Hotel Arusha),
  • kuna madiwani kama watano wa Dar, mmoja wao akiwa ni Meya wa Ilala na msaidizi wake (majina yamenitoka),
  • mume wake Amina Chifupa (Mpakanjia)... Na hili balaa alilianzisha huyo huyo Amina Chifupa,sasa sijui hakujua kuwa mume wake yumo au vipi, maana yeye ndiye aliyehoji bungeni kuwa hawa watu wanafaamika sasa kwa nini wasikamatwe?
Raisi akalivalia njuga.Wengi wao wamekimbia nchi,na inasemekana hawa walikuwa wanashirikiana sana na polisi,kitengo cha madawa ya kulevya.

Hao Manji na Dewji, inasemekana kuna mzigo wao uliibiwa Tanga juzijuzi hapa na wajanja,na ukauzwa. Kinachosemekana ni kuwa hawa watu wanafanya hii biashara kiujanja sana kiasi cha kwamba kuwashika sio rahisi kabisa kwa kuwa they can justify their means thru the legal businesses, lakini wengi walitajwa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya wadogo,ambao wengi wao hutumwa na hawa jamaa..
Hao kwenye nyekundu mpaka leo hawajarudi nchini?
Au ccm ni ileile.
 
kwani wanakaa wapi mkuu??

Tuliambiwa wametoroka nchini toka 2006,Pitia hapa.

By Zanaki Majina ambayo yanatajwa ni pamoja na:

  • Dewji (Mo'hd Enterprise) mbunge huyu,
  • Yusuf Manji,
  • Mrema (mmliki wa Ngurdoto lodge na Impalla Hotel Arusha),
  • kuna madiwani kama watano wa Dar, mmoja wao akiwa ni Meya wa Ilala na msaidizi wake (majina yamenitoka),
  • mume wake Amina Chifupa (Mpakanjia)... Na hili balaa alilianzisha huyo huyo Amina Chifupa,sasa sijui hakujua kuwa mume wake yumo au vipi, maana yeye ndiye aliyehoji bungeni kuwa hawa watu wanafaamika sasa kwa nini wasikamatwe?

Raisi akalivalia njuga.Wengi wao wamekimbia nchi,na inasemekana hawa walikuwa wanashirikiana sana na polisi,kitengo cha madawa ya kulevya.

Hao Manji na Dewji, inasemekana kuna mzigo wao uliibiwa Tanga juzijuzi hapa na wajanja,na ukauzwa. Kinachosemekana ni kuwa hawa watu wanafanya hii biashara kiujanja sana kiasi cha kwamba kuwashika sio rahisi kabisa kwa kuwa they can justify their means thru the legal businesses, lakini wengi walitajwa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya wadogo,ambao wengi wao hutumwa na hawa jamaa..
 
Madawa ya kulevya
Hili ni janga kubwa sana linalowamaliza vijana wetu nilitegemea baada ya kupata serikali mpya ingedhibiti biashara hii ili vijana wetu wasitumbukie kwenye janga hili, lakini mpaka sasa vijana wanaendelea kuteketea na madawa ya kulevya, hivi kweli hata hili limewashinda mmeshindwa kuwakamata wale mateja wakawaambia wanaowauzia madawa ya kulevya.
Hao wauza Madawa wana nguvu kiasi mpaka wanaachwa wanaangamiza hiki kizazi.
 
Kama JK kapewa majina na bado hajachukua hatua za haraka hata kuacha waitwe na kuhojiwa hadi sasa ina maana anawapa muda waondoke na watakao kamatwa utakuwa ni ujinga wake . Kama ndiyo hilo basi naamini kweli JK he is not serious na naamini wengi wao ama ni wafadhili wa CCM ama washikaji watakuwemo.Sasa ni bora JK ukaacha habari za vita dhidi ya madawa ya kulevya .Maoni yangu haya

2006-10-14 09:34:59
Na Waandishi wetu

Baadhi ya vigogo wanaodaiwa kuwa ni ’mafia’ wa biashara ya dawa za kulevya nchini ambao majina yao yalikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni, wamedaiwa kuanza kuikimbia nchi na kwenda nchi jirani na Asia kwa hofu ya kushughulikiwa na Serikali ya Awamu ya Nne, imefahamika.

Hadi sasa, inaaminika kuwa, takriban vinara 17 kati ya 74 ambao majina yao yaliwasilishwa kwa Rais Kikwete, tayari ’wamelala mbele’ kwa nyakati tofauti na kwenda nchi jirani za Kenya na Uganda na baadhi yao India.

Habari ambazo Nipashe imezipata, zimeeleza kuwa, kundi hilo linalowahusisha wafanyabiashara maarufu nchini, wengi wao wakiwa ni wakazi wa jijini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Dodoma, wameamua kuikimbia nchi kutokana na kuingiwa woga baada ya majina yao kuanikwa mbele ya Rais Kikwete.

Chanzo chetu cha habari kimedokeza kuwa, kinara wa genge hilo, anayemiliki makampuni kadhaa jijini Dar es Salaam, aliondoka nchini wiki mbili zilizopita kwenda nchini India.

Kwa mujibu wa chanzo hicho, mara baada ya Rais Kikwete kukiri kupokea majina ya vinara wa biashara hiyo ya ’unga’ mbele ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari, waliingiwa na kiwewe.

Imedaiwa kwamba, Oktoba 8, mwaka huu, kundi hilo lilikutana katika hoteli mbili maarufu jijini Dar es Salaam, ambazo ni za washirika wao, ajenda kuu ikiwa ni kupanga mikakati ya jinsi ya kudhoofisha juhudi za Rais Kikwete za kukabiliana na biashara hiyo haramu.

Awali, ilidaiwa kuwa, vinara hao walitaka kufanyia kikao hicho cha siri katika hoteli moja ambayo pia ni ya mshirika wao, lakini aliamua kuwatolea nje dakika za mwisho.

”Mpaka sasa, wanazidi kujipanga na kutafakari namna na kumwingia Rais na njia wanayokusudia kuitumia, ni kumweleza wanataka kutoa misaada mingi kwa jamii inayohitaji,” kilisema chanzo hicho.

Aidha, imedaiwa kuwa, taarifa za kukabidhiwa Rais Kikwete orodha ya vinara wa biashara ya unga, pia imesaidia meli moja iliyokuwa na shehena ya dawa hizo, kushindwa kupakua ’mzigo’ huo katika bandari ya Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa habari hizo, baada ya meli hiyo kushindwa kuteremsha dawa hizo, sasa imebadilisha mwelekeo kwenda Kusini mwa Afrika.

Imeelezwa kuwa, taarifa za kuanikwa kwa majina hayo na meli hiyo kushindwa kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam, kumechangia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa dawa za kulevya nchini hususan jijini Dar es Salaam.

”Hivi sasa watumiaji wa dawa hizo, wanahaha kuzitafuta?imekuwa kama bidhaa adimu, wale waliokubuhu wanalazimika ’kubwia’ majivu yaliyochanganywa na poda ili mradi watimize dhamira yao,” alisema na kutahadharisha kuwa, hiyo ni hatari kwani wanaweza kupata saratani ya ini.

Mtoa habari huyo alisema kama serikali haitayafanyia kazi haraka majina ya watuhumiwa hao, huenda Rais Kikwete akajikuta anabaki na majina yao tu baada ya watuhumiwa wote kuikimbia nchi.

Mwezi uliopita, ilidaiwa kuwa, Rais Kikwete alikabidhiwa taarifa ya siri yenye kurasa tisa.

Taarifa hiyo alikabidhiwa kupitia kwa Waziri wa Usalama wa Raia, Bw. Bakari Mwapachu.

Alipozungumza na wananchi kupitia kwa Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, Rais Kikwete alikiri kupokea taarifa hiyo na kwamba inafanyiwa kazi na vyombo husika.

SOURCE: Nipashe
Very long time ago,khaah hii vita ni kubwa zaidi ya kumtoa kafara Wema
 
Raisi mstaafu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema hadharani ana list ya majina wauzaji wa madawa ya kulevya.

Kwenye hiyo listi alisema kuna Viongozi wandamizi wa serikali, wana siasa, Viongozi wa dini pamoja watu wengine. Lakini jambo kushangaa mpaka ameondoka madarakani Kikwete alishindwa kuwataja hao wahusika.
Yale majina yako wapi ?

Amepewa Makonda awataje yeye anataja watumiaji wadogo wadogo ambao hana uthibitisho naoHao wauza madawa ya kulevya wana nguvu kuliko serikali? Yale majina ya wauza madawa ya kulevya yako wapi?

Makonda hana ubavu wa kupambana hii vita.
 
Mmmmh! Kwa awamu hii ya tano wote watatajwa wewe subiri Ngoma ndo kwanza imeanza acha haraka
 
Raisi mstaafu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema hadharani ana list ya majina wauzaji wa madawa ya kulevya .
Kwenye hiyo listi alisema kuna Viongozi wandamizi wa serikali, wana siasa ,Viongozi wa dini pamoja watu wengine.Lakini jambo kushangaa mpaka ameondoka madarakani Kikwete alishindwa kuwataja hao wahusika.
Yale majina yako wapi ?
amepewa Makonda awataje yeye anataja watumiaji wadogo wadogo ambao hana uthibitisho nao
Hao wauza madawa ya kulevya wana nguvu kuliko serikali?
Yale majina ya wauza madawa ya kulevya yako wapi?
Makonda hana ubavu wa kupambana hii vita.
 
Lakini jambo kushangaa mpaka ameondoka madarakani Kikwete alishindwa kuwataja hao wahusika.
Yale majina yako wapi ?

Unadhani kati ya Makonda na rais JK nani anastahili kujibu swali hilo?

amepewa Makonda awataje yeye anataja watumiaji wadogo wadogo

Una ushahidi Makonda kapewa majina na rais akutajie? Unaweza kuthibitisha hili ukitakiwa kufanya hivyo?

Hebu tutajie watumiaji wakubwa unaowajua wewe

ambao hana uthibitisho nao

Una uhakika na hili?

Hao wauza madawa ya kulevya wana nguvu kuliko serikali?

Kwani kinachofanyika sasa ni nini? Hebu weka ushahidi ulionao hapa ili serikali tuone kama haitachukua hatua

Yale majina ya wauza madawa ya kulevya yako wapi?
Makonda hana ubavu wa kupambana hii vita.

Makonda anahitaji ushirikiano wa watz wenye mtazamo chanya, peke yake hawezi kamwe. Sasa hivi amejikuta kwenye vita mbili (two fronts) apambane kuufuatilia mzizi ulipootea, halafu apambane na wanaojidai wajuaji wa kila jambo, watakaopinga kila hatua inayochukuliwa. Taifa limekosa mwelekeo.

Makonda amethubutu kwa nafasi yake, wewe nawe umethubutu kwa keyboard yako, hongera yako
 
Unadhani kati ya Makonda na rais JK nani anastahili kujibu swali hilo?

Una ushahidi Makonda kapewa majina na rais akutajie? Unaweza kuthibitisha hili ukitakiwa kufanya hivyo?

Hebu tutajie watumiaji wakubwa unaowajua wewe

Una uhakika na hili?

Kwani kinachofanyika sasa ni nini? Hebu weka ushahidi ulionao hapa ili serikali tuone kama haitachukua hatua

Makonda anahitaji ushirikiano wa watz wenye mtazamo chanya, peke yake hawezi kamwe. Sasa hivi amejikuta kwenye vita mbili (two fronts) apambane kuufuatilia mzizi ulipootea, halafu apambane na wanaojidai wajuaji wa kila jambo, watakaopinga kila hatua inayochukuliwa. Taifa limekosa mwelekeo.

Makonda amethubutu kwa nafasi yake, wewe nawe umethubutu kwa keyboard yako, hongera yako
Makonda anapambana na Wema Sepetu anawaacha wahusika upuuzi
 
Makonda anapambana na Wema Sepetu anawaacha wahusika upuuzi
Kama kweli Mhs Rais Magufuli amedhamilia kukomesha biashara ya madawa ya kulevya, ni bora akabadili Jeshi la POLISI.
Mkuu wa jeshi atoke JWTZ. Departments zote zibadilishwe. Jeshi lifanye kazi kama Paramiltary hasa kwenye oparations za madawa ya kulevya.
Lihusishe wadau wote, mitaani hasa mgambo, Air Ports, Bandarini.
Kote huko kuwe na agents na informers.
Kila anaye ingia kwenye net akamatwe!!
Makonda peke yake hawezi!!
 
Back
Top Bottom