Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Majina yapo Ikulu Makonda anatakiwa kwenda kuyachukua na kuwataja hao wahusika siyo kuhangaika na Wema Sepetu
Majina hayakupelekwa Ikulu, bali alipelekewa aliekua akiishi Ikulu.
Sasa since majina alikua nayo mtu na sio Jumba basi inawezekana wakati anaondoka aliondoka nayo pia
 
Haiwezekani akaondoka na majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.
Majina hayakupelekwa Ikulu, bali alipelekewa aliekua akiishi Ikulu.
Sasa since majina alikua nayo mtu na sio Jumba basi inawezekana wakati anaondoka aliondoka nayo pia
 
Nashangaa kwa nini Lowassa alishindwa kujibu hilo la madawa ya kulevy directly wakati ni jambo linaloeleweka. Je ana interest zozote kwenye biashara hiyo au naye anawaogopa vibosile wa unga?

Peleka jina la lowasa kwa makonda muda ndio huu
 
Duh naamini vita ya wauzaji wa madawa ya kulevya Makonda atashindwa mapema sana amekurupuka
Wajua kuna kitu nimejiuliza sana,
TID, Chid Benz etc ni watumiaji (end users), sio Drug dealers.
Hawa kina TID ni watumiaji tu kama watumiaji wengine wowote walioko Kinondoni Manyanya, Mwananyamala, Mburahati, Tandale etc. Kama issue ni kutajiwa yanakopatikana basi hata hao wa Mwanyamala na Kino wangeweza kutaja tu, why wawachukue kina TID??

Pia why wawatangaze hadharani?? Hivi hata wanaowauzia hawa kina TID si watakua wanajipanga now jins ya ku escape huu msala? Why wasingewakamata wakawahoji kimyakimya??
 
Makonda ametumia vyombo vya habari kutafuta sifa hakuna kingine wahusika wauza wa madawa ya kulevya walikuwepo sidhani kama watapatikana wanajua kinachoendelea wengi wanaamini Makonda ana nia ya kupambana wauzaji wa madawa ya kulevya kumbe sivyo muda utaongea . angekuwa na nia njema angewakamata kimya kimya hata wauzaji wasingejua
 
Rais wa awamu ya NNE Dr Jakaya Kikwete aliwahi kuliambia Taifa kuwa ana list ya majina ya wauza madawa ya kulevya.

Je ile siku alipokuwa anamkabidhi Rais Magufuli ofisi pale Ikulu kile kitabu cha kurasa 52 kama summary ya baadhi ya mambo ya Ikulu alimpa na hiyo list ya majina ya wauza madawa ya kulevya? Au laa!!

Na kama alimpa hiyo list ya majina basi Rais Magufuli aikabidhi kwa Mamlaka Mpya chini ya Kamishina Sianga ili aifanyie kazi.

Na kama Rais Mstaafu Kikwete hajamkabidhi basi tafadhili asaidie hili zoezi kwa kukabidhi hiyo list kwa Rais Magufuli iwasadie wana usalama ktk hii vita
 
Hakumpa kwani kama angempa tungeona Ridhiwani na Kinje wameshikwa au kwenda kuripoti central.
 
Ulimsikia mwakyembe alivosema kuwa " mtu muhimu aliesaidia kupambana na madawa kwa % zaidi ya 90, aliishia kufungwa jela mpka leo! Bila kumtaja huyo mtu, pia alieleza kuwa jitihada zake zote za kumtoa huyo mtu zilishindikana!

"Labda kwanza ayakate majina mengine ndo amkabizi"
 
Hiyo ya Mh Dr Mwakyembe ina maana gani au inatoa picha gani ktk vita hii??
 
Rais anayeondoka Madarakani hukabidhi kila kitu kwa Rais mpya.Sina shaka kabisa kwamba Kikwete alikabidhi Orodha ya Wahusika wa Dawa za kulevya.
 
Back
Top Bottom