CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
habari za mapumziko wana chitchat, katka maisha kila mtu huwa ana wishes zake kwenye majina ya wanawe watarajiwa. mf. mie kabla sijapata mtoto nilikuwa napenda jina la Yvonne na Ian, nilisema km nikimpata mtoto wa kike ntamuita Yvonne na kama ntampata wa kiume ntamuita Ian. bt nikampata wa kike nimemuita Yvonne.
reason: nilikuwa nampenda sana yvonne chakachaka hasa nyimbo zake. je wewe mwana cc ulipenda jina / majina yapi na kwa sababu gani?
reason: nilikuwa nampenda sana yvonne chakachaka hasa nyimbo zake. je wewe mwana cc ulipenda jina / majina yapi na kwa sababu gani?