Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,710
- Thread starter
- #221
Ndiyo
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
bhuzo, nchambi ,Kang'wa, kwangu, nyanzobe, milembe, sundi,sayi, khija, mbalu, Tuma,
KUNDIBinafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........