chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,454
Nina dada yangu anaitwa wandeHili la 'wande' nimevutiwa nalo ila sijui maana yake. Nyani Ngabu na mkuu Sikonge nisaidieni kujua maana yake...
Nina dada yangu anaitwa wandeHili la 'wande' nimevutiwa nalo ila sijui maana yake. Nyani Ngabu na mkuu Sikonge nisaidieni kujua maana yake...
Kumbuka Mihayo hata mwanaume anatumia...ulimhola?Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
HokaSado
Sane
Ngolo
Yunge
Mija
Mbuke
Sele
Hoga
Hili la 'wande' nimevutiwa nalo ila sijui maana yake. Nyani Ngabu na mkuu Sikonge nisaidieni kujua maana yake...
Mnyamwez wa sikonge?Bwana dereva kamata mbogo ka-MNYANGALA kane.
hayo si majina ya wasukuma labda ya kwenuNgulungulu
Mwilapwa
Ntundu
Shitalati
Bagenyi.
Hao ndiyo watafunaji kweli kweliHapana Mkuu, wengine tuna wake na tuna heshimu dada zetu. Hivyo tutamfahamu tu bila ya kumjua Kipenzi cha mtu.
Nkwaya jina la laaziz wangu toka simiyu nampenda mpk naumwaNshoma,Nkeya,Minza,Hollo,Nkwaya,Nkwimba