HAPANA na halafu watu wata changanya na ya kinyamwezi pia kama nyamiziHaya kwangu ni mageni kwa kweli nayo ni ya kisukuma?pls help
BatuliBinafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Hili ni jina la kisukuma. Ninae ndugu wa damu atumiae jina hili na karithi kwa bibi shangazi yake baba.Sio jina la Kisukuma ni Wajita na Waruri.