Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,162
- 11,229
Nyanjige
Misoji siyo jina la kike...nimesoma na jamaa mmoja Pugu sir name yake ilikuwa ni Misoji....ni msukuma pia.Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Wenyew ndo wataharib bure mbegu zetu mana wasukuma hapana kwa kwel.afadhali usije ukaharibu mbegu ya watu
Misoji siyo jina la kike...nimesoma na jamaa mmoja Pugu sir name yake ilikuwa ni Misoji....ni msukuma pia.
Mihayo ni jina la kiume!! Kinehe Nkoi habhari ja marekani!!!
Dah...Ukimpa binti yako hilo jina .. vijana wa bodaboda watakuwa hawapungui kwako 😀😀😀Ngulungulu
Mwilapwa
Ntundu
Shitalati
Bagenyi.
WAJITA, WARURI NA WAKWAYA!Sauda, Ngolwe, Mtamba, Nyakwesi, Nyakato, Nyangoma, Wansato
Yeeeeeesss Leo tunajuana wasukuma...Nshoma,Nkeya,Minza,Hollo,Nkwaya,Nkwimba
Ni Ng'walu au Mbuke.ningekutajia jina la mpenzi wangu, ni la kisukuma orijino na ni zuri sana, ila naogopa mtamjua....................