Bars from Ludacris!

Bars from Ludacris!

Jay Z ni mkali ila hana puch zozote, yuko na flow nzuri ila punch hamna kitu, kwa hapa bongo ni sawa na prof Jay kwenye best Rappers huachi kuwaweka ila punch hawana
Jay Z ni Goat anakuchapa kwenye flow na mafanikio maana ni bilionea 😂😂
 
Marapa wa Atlanta wa sasa ni mawhack sana huwa wanaongea a random sentences na kutaja aina za magari,pombe na kurudia rudia tu maneno..Atleast Ludacris,2 chains,Gucci Mane,Andre 3000 wanawabeba na hiyo yote kutokana na kuwa na Element za old school raps
Mumble rappers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom