Daddy umeuaaaaaaa!!!!!!!
Kaa nae mbali basi... Afu kama hutajali hiyo hela ya tanga alokulipia irudishe upesisweetlady ushoga na ushosti utaisha hapahapa.
Nani amtake daddy ako!
Yeye ndo kajidai kunigharamia safari ya Tanga.
Mie nilimuomba?
Hili jeshi la mtu mmoja.
Mchezeeni huyohuyo Zinduna anaeweka usiku kumfuata shoga ake.
Mie nitawapopoeni na mawe mpaka mpoteze mwelekeo wewe,mabinamu zako na mama yako.
Thubutuuuu.... yan ukicheza tunakupiga ngumi moja manundu mia moja!!!!!!!!!!
Yeah sis, watuambie walikoyatoa!
Ahh shoga hata mie.
Kama hamjarudi mahutihuti.
Kaa nae mbali basi... Afu kama hutajali hiyo hela ya tanga alokulipia irudishe upesi
Ye muache tu, labda ana hamu ya manundu mwili mzima!
maana yake "acha tujidai"...daughter lugha ya baba inakutatiza eenh
mtoto wa kike tutakupiga zongo na busha la koromeo....naona wajivunia mdomo huo
Watu wa Kigoma wanajidai ee? Watajilipa lini sasa?
hahaha kweli kiswahili kigumu...mambo vp lakini
me vkhedav tkven kamati
Freemason dainteresebuli mkhareebis