Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,366
- 111,659
We thubutu.
Sie wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na wazungu
Unywele mpaka kunako mpododo.
Utantaka!
mmh labda wa kuchora
We thubutu.
Sie wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na wazungu
Unywele mpaka kunako mpododo.
Utantaka!
mmh labda wa kuchora
hivi kumbe hujawahi niona huko eenh...
Shindwa ktk jina la Jf Founder.
Kama unanitaka si useme tu.
Ukafanye nini?
Kwenda zako.
Na usinidowee kitanda changu tukifika Tanga.
Unashangaa au unauliza.
Which is which!
thubutu...kuna toto la kigunya lanisubiri mie huko kwa raha zangu
nakushanga...
Asante nawe mpenzi.
Asije akakwambia yeye ni Msambaa.
Hakunaga jina hlo kwetu.
We thubutu.
Sie wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na wazungu
Unywele mpaka kunako mpododo.
Utantaka!
Me nakuangalia tu.
Na ole wako uguse kitasa changu,nakuitia mwizi.
za Kiunoni au za wapi?