Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
gsurt tu ramdenad? charminglady
Last edited by a moderator:
Hawa nadhani mnawafahamu hakuna maelezo ya ziada....
Bishanga
Ruttashobolwa
Wafuatao ni Wazungu hivyo hawana makabila
Madame B
Asprin
charminglady na mdogo wake sweetlady
The secretary
Erickb52
Preta
Wafuatao ni wamakonde wa Ntwara
Kongosho
manoah huyu kabadili jina baada ya magari NOAH kuwa maarufu, mwanzoni alitambulika kama maRAV4
hata wazungu tuna makabila mfano judgement
Alivokufa sheikh yahayaumetunukiwa lini ushehe yahaya.
Kuna baadhi ya majina yako so common katika baadhi ya makabila. Yaani huwezi kukosa ukoo mzima kukosa jina hilo. Mfano;
Ladislaus- Wachaga
Laizer- Wamasai
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nakutafuta twende kwenye uzi wako kule, unamkimbia John Elias eeh, toka twende.RDC. Sosi JB Mpiana!
embu nijibuni hili jina ''KATUNGUNYA'' ni kabila gani hapa tz??
Unajua linanichanganyaga
Hawa nadhani mnawafahamu hakuna maelezo ya ziada....
Bishanga
Ruttashobolwa
Wafuatao ni Wazungu hivyo hawana makabila
Madame B
Asprin
charminglady na mdogo wake sweetlady
The secretary
Erickb52
Preta
Wafuatao ni wamakonde wa Ntwara
Kongosho
manoah huyu kabadili jina baada ya magari NOAH kuwa maarufu, mwanzoni alitambulika kama maRAV4
Umechezea weee
mda huu ndo unaachiliwa.
Mtafia vifuani.
Hili la kwanza ni la kidhungu lakini hili la pili ni la KIkongo!!!