Majina Maarufu ktk Makabila.

Majina Maarufu ktk Makabila.

heee basi mi nilijua nyie ndio wale wachina wa mtaa wa Swahili pale K'koo maana nao wanaitwa hivyo hivyo...

Hamna bana, huyu mwenzangu ndo anawafhamu vizuri s anawaleteaga mabazee toka kwao Congo!
 
Mimi aloniacha hoi humu ni sweetlady aliposema mimi ni mnyaturu!!! Yaani mimi nilizimika! Tusipachikane makabila yasotuhusu bhana.
 
Last edited by a moderator:
Yego masikA, yego jaji, maega, nyanyonyi, nyakwesi, nyamata, nyambuli, nyamamba, nyabwire,
 
Last edited by a moderator:
Naishukuru sana ''Airtel Money'' -- wachaga
 
Manyama, magesa,masatu,maira,magoti, manumbu, nyageta, nyanyama,nyasatu, nyangoko- wajita
mwita, marwa,chacha,wegesa,mwikwabe,matiku-wakurya
 
Manka,mushi.shirima,ndechau,....wachagaa
elinaza,eliwajwa,naibwe,kijiru...wapare
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom