King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,179
Kibera - Wapemba
Vp nyavu zishacheua?
Kibera - Wapemba
Kwenu si ndo kuna shelukosi, shemndoa,shenguruwe, shelukindo,shekilango, shetani e.t.c ?
tokea lini Wachina wakawa mahandsome...macho kama tundu la kifungo loh!
Mh sikuiona hii,mbona uliniambia asili yenu ni Tarime..
Na jina lako la utoto lilikuwa Bhoke,mlivyohamia Tanga ndio ukabadilisha
ukajiita Batuli....na ndio kisa cha kujiita Madame B hapa JF....
weye mwenyewe ndiye utausaka mlango wangu...
Ujue nakuangalia tu unavyojipendekeza kwa dady angu eeh? Ole wako uzae nae kama yule shoga ake Zinduna alvyozaa na baba Zinduna, walah mie, charminglady, WiseLady na binamu yetu FirstLady1 tukishirikiana na mama mzazi measkron tutakutafuna kabla hatujakupika!Me nakuangalia tu.
Na ole wako uguse kitasa changu,nakuitia mwizi.
Hv bado hujafunga ndoa na St. Paka Mweupe wako?
Sie Wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na Wazungu wa Kihabeshi.
Hlo Batuli la mkeo la Utotoni.
Hawa nadhani mnawafahamu hakuna maelezo ya ziada....
Bishanga
Ruttashobolwa
Wafuatao ni Wazungu hivyo hawana makabila
Madame B
Asprin
charminglady na mdogo wake sweetlady
The secretary
Erickb52
Preta
Wafuatao ni wamakonde wa Ntwara
Kongosho
manoah huyu kabadili jina baada ya magari NOAH kuwa maarufu, mwanzoni alitambulika kama maRAV4
Ujue nakuangalia tu unavyojipendekeza kwa dady angu eeh? Ole wako uzae nae kama yule shoga ake Zinduna alvyozaa na baba Zinduna, walah mie, charminglady, WiseLady na binamu yetu FirstLady1 tukishirikiana na mama mzazi measkron tutakutafuna kabla hatujakupika!
Na Bhoke je,si ndio ulikuwa unalitumia utotoni..
Au unalionea aibu kwa sababu ni la Kikurya..
kwenu huko kuna Shemahonge, Shemweta, Shembilu, Shekiondo nasikia hata Shetani ni Msambaa....
Sijampendea macho.
Nimempendea kuanzia kiunoni kushuka chini mpaka magotini.
Ujue nakuangalia tu unavyojipendekeza kwa dady angu eeh? Ole wako uzae nae kama yule shoga ake Zinduna alvyozaa na baba Zinduna, walah mie, charminglady, WiseLady na binamu yetu FirstLady1 tukishirikiana na mama mzazi measkron tutakutafuna kabla hatujakupika!
kwa hiyo kile kidole cha mwisho ndio unakipenda, khaa kama piriton
Ahh wapi,
na tuone nani atamnyatia mwenzie usiku.
Ndo mana nataka nije na Majinzi special kwa ma-Mende kama nyie
Hzo ni nguvu za Chapati tu,kiboko yake supu.