Majina Maarufu ktk Makabila.

Majina Maarufu ktk Makabila.

kwenu huko kuna Shemahonge, Shemweta, Shembilu, Shekiondo nasikia hata Shetani ni Msambaa....

We thubutu.
Sie wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na wazungu
Unywele mpaka kunako mpododo.
Utantaka!
 
GOD
-bless,-frey,-listen, father n.k hapa utawapata WACHAGA au sio Mkuu rombo

Plasidius, salutaris, almachius, prudence, na mengneyo yanayoishia na "us"= WAHAYA
kaka Bishanga na Ruttashobolwa watathibitisha hili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom